Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIZAAZAA SINZA MAKABURINI!

Timbwili lililotokea juzi, ndiyo lile hasa linaloitwa nguo kuchanika. Maana zilianza ngumi za pande tatu. Maana ikawa hata haieleweki nani anamtandika nani, na kutokana na mkasa mzima, sisi wananchi wema ililazimika tukae pembeni tumekodoa macho, huku hatuelewi kitu gani tufanye. Sababu ya timbwili hili mimi kama raia mwema nasema lilianzishwa na ubovu wa barabara, najua wengine mtakuja kusema barabara haihusiki lakini ki ukweli...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KITUO CHA DALADALA SINZA MAKABURINI

Hini ni moja ya kibanda kati ya vibanda vingi vinavyotumika kupimzikia abiria wa usafiri wa daladala pindi wasubiriapo usafiri huo kwenye maeneo mbali mbali ya vituo vya daladala hapa jijini Dar.lakini tofauti na maeneo mengine,kituo hiki ambacho kipo pale Sinza Makaburi,kimeondolea sehemu husika na kuwekwa juu ya mtaro wa maji katika eneo hilo kama Kamera ya Globu ya Jamii ilivyoweza kukinasa.

 

11 years ago

Michuzi

Redd's Miss Sinza 2014 Kufanyika kesho Meeda Club Sinza

Mratibu wa shindano la Redd's miss Sinza 2014 Tinna Matutuna katikati akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Meeda Night Club sinza juu ya Shindano la Redd's Miss Sinza litakalofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa Meeda Night Club kwa kiingilio cha 5,000 kwa viti vya kawaida na 10,000 kwa Viti Maalum .kushoto na kulia ni baadhi ya warembo wa shindano hilo. =======  ====== ===== MNYANGE atakayefanikiwa kuibuka mrembo wa kitongoji cha Sinza ‘ Redds Miss Sinza  2014’...

 

11 years ago

GPL

MAZOEZI YA MISS SINZA KUANZA MEI 5 KWENYE UKUMBI WA MEEDA, SINZA

Prisca Clement (katikati) mara baada ya kushinda taji la vipaji katika mashindano ya Miss Tanzania 2013. Na Mwandishi Wetu
MAZOEZI ya warembo watakaowania taji la urembo la Sinza, Miss  2014 yataanza Mei 5 kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori na Lufungila jijini Dar es Salaam. Taji la Miss Sinza linashikiliwa na Miss Tanzania, Prisca Clement alimaliza katika hatua ya 10 bora katika mashindano ya mwaka jana ya Miss...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AISHI MAKABURINI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
WAKATI sehemu ya makaburi imekuwa ikiogopwa na watu wengi kutokana na ukweli kwamba ni makazi ya wafu, hali ni tofauti kwa mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 8-9 ambaye jina lake halikuweza kufahamika, kuishi katika makaburi ya Kigilagila, Yombo jijini Dar es Salaam kwa zaidi ya mwezi mmoja. Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio na baadaye...

 

11 years ago

Mtanzania

Viboko vyatembezwa makaburini

Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

NA VICTOR BARIETY, SENGEREMA

WAJUKUU wa marehemu Sabina Ngalu (77) wa jijini Mwanza, wamecharazwa bakora na watoto wa marehemu baada ya kung’ang’ania kaburini wakitaka kupewa fedha.

Tukio hilo la aina yake lilitokea katika Kitongoji cha Nyamwanza, Kata ya Sima, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza juzi muda mfupi baada ya mwili wa marehemu kuwasili eneo la mazishi ukitokea Kanisa la Roman Catholic Parokia ya Yesu Kirsto Mfalme la mjini Sengerema.

Chanzo cha wajukuu hao zaidi ya...

 

10 years ago

GPL

MREMBO APELEKWA MAKABURINI, AUAWA


Hilda Mwita enzi za uhai wake. Chande AbdalLah na Gabriel Ng’osha MAJONZI! Mrembo mmoja aliyefahamika kwa jina la Hilda Mwita (29) mkazi wa Kisanga, Bunju A jijini Dar, anadaiwa kupelekwa eneo la makaburini, ambako alibakwa hadi kufa, Risasi Jumamosi lina kisa kizima. Tukio hilo la kuhuzunisha, lilitokea hivi karibuni, baada ya…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mila zazua mtafaruku makaburini

Matafaruku mkubwa umetokea baada ya ndugu wa marehemu, kumpasua tumbo ndugu yao na kumuwekea kifaranga cha kuku wakati akizikwa.

 

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA AONGOZA IBADA FUPI MAKABURINI

Mama Kanumba akionesha uso wa huzuni baada ya kufika makaburini kwa ajili ya kumkumbuka mtoto wake marehemu, Steven Kanumba. Mama Kanumba akiwasha mshumaa kama ishara ya kumbukumbu ya mwanaye.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani