SALAMU KUTOKA KWA WENYEKITI WA CCM TAWI LA NEW YORK NA VITOGOJI VYAKE BWANA SEIF AKIDA !!

Mwenyekiti wa tawi la CCM Bwana Seif Akida anawatakia Watanzania wote uchaguzi mwema wenye amani.Tuwakemee wachochezi wa aina yoyote ili tuweze kuvuka kwa salama na amani.Wanadiaspora tunawatakia uchaguzi mwema. Maombi na sala zetu tunazielekeza kwenu mlio nyumbani Tanzania.Ameen.
Mungu Ibariki Tanzania.Mungu Ibariki Africa. Mwenyekiti wa tawi la CCM New York Bwana Seif Akida, wakiwa nyumbani kwa Ny Ebra Brooklyn pamoja na Mzee Lucas wakipata kinywaji na uku wakisikilizia mambo yatakuwaje...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.
Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.
11 years ago
Vijimambo10 Oct
TANGAZO KUTOKA TAWI LA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE

10 years ago
Vijimambo
TAWI LA CCM NEW YORK YA PATA KATIBU WAKE RASMI BWANA STEVE BUBE


11 years ago
GPL30 Dec
SEIF AKIDA MDAU TOKA NEW YORK ALONGA NA VIJIMAMBO
11 years ago
Michuzi.jpg)
Balozi Seif Ali Idd awapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni,Bumbini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM
Balozi Seif alisema hayo wakati akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni moja kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa ya kusaidia harakati za ujenzi wa Jengo hilo mchango alioukabidhi kwa uongozi wa Tawi hilo hapo Ofisini...
10 years ago
Vijimambo
SALAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA TAWI LA CCM NEW YORK

Kufuatia kifo cha kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi na kiongozi mstaafu wa serikali mzee wetu Samuel Luangisa kilichotokea tarehe 05/25/2015 mjini New York, Marekani. Chama Cha Mapinduzi tawi la New York na vitongoji vyake inaungana na familia ya marehemu mzee Luangisa na watanzania wote kuomboleza msiba huu mkubwa. Tunatoa rambirambi zetu kwa familia yake hapa Marekani, nyumbani Tanzania na watanzania wote. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amen.Imetolewa...
11 years ago
Vijimambo20 Sep
TANGAZO KUTOKA UONGOZI WA TAWI LA CCM NEW YORK

10 years ago
VijimamboIFTAR NYUMBANI KWA MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NEW YORK
10 years ago
Michuzi
PONGEZI KWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA WANACHAMA WA CCM,TAWI LA CCM CHINA
