IFTAR NYUMBANI KWA MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NEW YORK
Iftar nyumbani kwa mwenyekiti wa tawi la CCM New York Bwana Seif Akida Bronx Ny.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.
Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.
9 years ago
VijimamboSALAMU KUTOKA KWA WENYEKITI WA CCM TAWI LA NEW YORK NA VITOGOJI VYAKE BWANA SEIF AKIDA !!
Mwenyekiti wa tawi la CCM Bwana Seif Akida anawatakia Watanzania wote uchaguzi mwema wenye amani.Tuwakemee wachochezi wa aina yoyote ili tuweze kuvuka kwa salama na amani.Wanadiaspora tunawatakia uchaguzi mwema. Maombi na sala zetu tunazielekeza kwenu mlio nyumbani Tanzania.Ameen.
Mungu Ibariki Tanzania.Mungu Ibariki Africa. Mwenyekiti wa tawi la CCM New York Bwana Seif Akida, wakiwa nyumbani kwa Ny Ebra Brooklyn pamoja na Mzee Lucas wakipata kinywaji na uku wakisikilizia mambo yatakuwaje...
10 years ago
VijimamboTAWI LA CCM NEW YORK
Uongozi wa CCM New York na vitongoji vyake unapenda kutoa shukran zake za dhaki kwa moiyo ya kujitolea kwa hali na mali kwa watu wote waliohudhuria sherehe ya CCM kutimiza miaka 38 mjini New York.Pia tunawashukuru wanachama wote na wasio wanachama kwa michango ilofanikisha shughuli hii na kuna wengine walichangia na hawakuja wote tunawashukuru.Shukran za pekee zimwendee mgeni rasmi mh. Ridhiwani Kikwete kwa ushauri na mema yote aliyotufanyia hata kuja kujiunga nasi kwenye sherehe juu ya kazi...
10 years ago
VijimamboTAWI LA CCM NEW YORK USA
TAWI LA CCM NY LINAUNGANA NA WANACHAMA WOTE WA CCM POPOTE WALIPOKUMPONGEZA MH. JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KUWA MGOMBEA WAURAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI. TAWI PIA LINAMPONGEZA MH. SAMIASULUHU KUWA MGOMBEA MWENZA. VIVYO HIVYO TAWI LINAMPONGEZA MH.MWENYEKITI DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE NA VIONGOZI WOTE KWA KAZI NZURINA NGUMU YA KUONGOZA VIKAO VYA CHAMA VILIVYOPELEKEA UTEUZI WA MH. JOHNPOMBE MAGUFULI.
KIDUMU CHAMA!!
UONGOZI WA TAWICCM-NY
11 years ago
MichuziBalozi Seif Ali Idd awapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni,Bumbini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi amewapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni Jimbo la Bumbwini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM lenya hadhi ya Chama chenyewe.
Balozi Seif alisema hayo wakati akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni moja kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa ya kusaidia harakati za ujenzi wa Jengo hilo mchango alioukabidhi kwa uongozi wa Tawi hilo hapo Ofisini...
Balozi Seif alisema hayo wakati akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni moja kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa ya kusaidia harakati za ujenzi wa Jengo hilo mchango alioukabidhi kwa uongozi wa Tawi hilo hapo Ofisini...
10 years ago
Vijimambo20 Sep
TANGAZO KUTOKA UONGOZI WA TAWI LA CCM NEW YORK
Tangazo maalumu:Mkutano mkuu wa CCM New York pamoja na vitongoji vyake ambao ulikuwa ufanyike October 4th sasa utafanyika Jumamosi inayofuata October 11 kupisha sikukuu ya Eid. Mkutano huu utafanyika 30 Over hill Road, Mt. Vernon, NY saa nane mchana. Kwa wale wote waliochukuwa forms za kugombea uongozi deadline ya kurudisha forms ni Jumamosi October 4. Shukran, CCM Uongozi, NY. Kwa maelezo zaidi wasiliana na Akida Seif kupitia namba.917 557 3195.
11 years ago
Michuzi10 Feb
TASWIRA YA SHEREHE YA KUZALIWA CCM TAWI LA NEW YORK
Tawi la CCM New York walivyoshereheka miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho, Kulikuwa na hotuba ya viongozi wa tawi na mgeni rasmi kutoka Tanzania UN Mission Mama Maura Mwingira. Historia ya chama iliyosomwa na mwenyekiti wa tawi bwana Maftah na mambo mengi kama kula chakula kucheza ngoma na muziki kutoka kwa Dj Paul Masoud wa Boston.
Mgeni rasmi akiingia ukumbini hapa akisindikizwa na viongozi wa tawi la CCM New York.
Viongozi wakijiweka sawa kwenye meza kuu
Kwa picha zaidi BOFYA...
10 years ago
Vijimambo13 Jul
WATANZANIA NA WANA CCM WOTE WA TAWI LA NEW YORK.
Ni takribani siku 29 zimepitatangu marehemu Alfred Magege alipo aga dunia mnano 6/13/15 na kuzikwa6/28/15. Familia ya marehemu bado haijasahau na haitasahau moyo wapekee uliojaa upendo, faraja, ukarimu, umoja, mshikamano, undugu naurafiki wa kweli wakati wa kipindi hicho kigumu cha msiba.Kushiriki kwenu kumeipa familia imani, sababu, na nguvunyingine ya kuendelea kukabili maisha pasipo hofu tukitambua familiakubwa iliyotuzunguka kipindi hicho na Mwenyezi Mungu anayetunza sikukwa siku tukiwa...
10 years ago
VijimamboSALAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA TAWI LA CCM NEW YORK
Kufuatia kifo cha kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi na kiongozi mstaafu wa serikali mzee wetu Samuel Luangisa kilichotokea tarehe 05/25/2015 mjini New York, Marekani. Chama Cha Mapinduzi tawi la New York na vitongoji vyake inaungana na familia ya marehemu mzee Luangisa na watanzania wote kuomboleza msiba huu mkubwa. Tunatoa rambirambi zetu kwa familia yake hapa Marekani, nyumbani Tanzania na watanzania wote. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amen.Imetolewa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania