Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO KUTOKA UONGOZI WA TAWI LA CCM NEW YORK

Tangazo maalumu:Mkutano mkuu wa CCM New York pamoja na vitongoji vyake ambao ulikuwa ufanyike October 4th sasa utafanyika Jumamosi inayofuata October 11 kupisha sikukuu ya Eid. Mkutano huu utafanyika 30 Over hill Road, Mt. Vernon, NY saa nane mchana. Kwa wale wote waliochukuwa forms za kugombea uongozi deadline ya kurudisha forms ni Jumamosi October 4. Shukran, CCM Uongozi, NY. Kwa maelezo zaidi wasiliana na Akida Seif kupitia namba.917 557 3195.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO KUTOKA TAWI LA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE

 Tangazo kutoka kwa Mwenyekiti wa tume huru ya kusimamia uchaguzi wa chama tawi la New York na vitongoji vyake Bwana Isaac Kibodya na wajumbe wenzake walikutana kupitia taratibu zote za uchaguzi Na kuafikiana kupitisha majina yafuatayo kwa uchaguzi wa Jumamosi October 11, 2014 Katika nafasi ya Mwenyekiti wagombea ni Bwana. Sefu Akida na Bwana. Maftah Hassan. Mweka hazina ni bwana. Henry Stambuli. Umoja wa vijana walioomba nafasi ni Mr. Gastol Mkapa na katibu wake ni Bi. Bahia Maundi. Katibu...

 

10 years ago

Vijimambo

SALAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA TAWI LA CCM NEW YORK


Kufuatia kifo cha kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi na kiongozi mstaafu wa serikali mzee wetu Samuel Luangisa kilichotokea tarehe 05/25/2015 mjini New York, Marekani. Chama Cha Mapinduzi tawi la New York na vitongoji vyake inaungana na familia ya marehemu mzee Luangisa na watanzania wote kuomboleza msiba huu mkubwa. Tunatoa rambirambi zetu kwa familia yake hapa Marekani, nyumbani Tanzania na watanzania wote. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amen.Imetolewa...

 

9 years ago

Vijimambo

SALAMU KUTOKA KWA WENYEKITI WA CCM TAWI LA NEW YORK NA VITOGOJI VYAKE BWANA SEIF AKIDA !!



Mwenyekiti wa tawi la CCM Bwana Seif Akida anawatakia Watanzania wote uchaguzi mwema wenye amani.Tuwakemee wachochezi wa aina yoyote ili tuweze kuvuka kwa salama na amani.Wanadiaspora tunawatakia uchaguzi mwema. Maombi na sala zetu tunazielekeza kwenu mlio nyumbani Tanzania.Ameen.

Mungu Ibariki Tanzania.Mungu Ibariki Africa.  Mwenyekiti wa tawi la CCM New York  Bwana Seif Akida, wakiwa nyumbani kwa Ny Ebra Brooklyn pamoja na Mzee Lucas wakipata kinywaji na uku wakisikilizia mambo yatakuwaje...

 

10 years ago

Vijimambo

TAWI LA CCM NEW YORK

Uongozi wa CCM New York na vitongoji vyake unapenda kutoa shukran zake za dhaki kwa moiyo ya kujitolea kwa hali na mali kwa watu wote waliohudhuria sherehe ya CCM kutimiza miaka 38 mjini New York.Pia tunawashukuru wanachama wote na wasio wanachama kwa michango ilofanikisha shughuli hii na kuna wengine walichangia na hawakuja wote tunawashukuru.Shukran za pekee zimwendee mgeni rasmi mh. Ridhiwani Kikwete kwa ushauri na mema yote aliyotufanyia hata kuja kujiunga nasi kwenye sherehe juu ya kazi...

 

10 years ago

Vijimambo

TAWI LA CCM NEW YORK USA



TAWI LA CCM NY LINAUNGANA NA WANACHAMA WOTE WA CCM POPOTE WALIPOKUMPONGEZA MH. JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KUWA MGOMBEA WAURAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI. TAWI PIA LINAMPONGEZA MH. SAMIASULUHU KUWA MGOMBEA MWENZA. VIVYO HIVYO TAWI LINAMPONGEZA MH.MWENYEKITI DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE NA VIONGOZI WOTE KWA KAZI NZURINA NGUMU YA KUONGOZA VIKAO VYA CHAMA VILIVYOPELEKEA UTEUZI WA MH. JOHNPOMBE MAGUFULI.
KIDUMU CHAMA!!

UONGOZI WA TAWICCM-NY

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA NA WANA CCM WOTE WA TAWI LA NEW YORK.

Ni takribani siku 29 zimepitatangu marehemu Alfred Magege alipo aga dunia mnano 6/13/15 na kuzikwa6/28/15. Familia ya marehemu bado haijasahau na haitasahau moyo wapekee uliojaa upendo, faraja, ukarimu, umoja, mshikamano, undugu naurafiki wa kweli wakati wa kipindi hicho kigumu cha msiba.Kushiriki kwenu kumeipa familia imani, sababu, na nguvunyingine ya kuendelea kukabili maisha pasipo hofu tukitambua familiakubwa iliyotuzunguka kipindi hicho na Mwenyezi Mungu anayetunza sikukwa siku tukiwa...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA YA SHEREHE YA KUZALIWA CCM TAWI LA NEW YORK

Tawi la CCM New York walivyoshereheka miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho, Kulikuwa na  hotuba ya viongozi wa tawi na mgeni rasmi kutoka Tanzania UN Mission Mama Maura Mwingira. Historia ya chama  iliyosomwa na mwenyekiti wa tawi bwana Maftah na mambo mengi kama kula chakula  kucheza ngoma na muziki kutoka kwa Dj Paul Masoud wa Boston. Mgeni rasmi  akiingia ukumbini hapa akisindikizwa na viongozi wa tawi la CCM New York.  Viongozi wakijiweka sawa kwenye meza kuu Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Vijimambo

IFTAR NYUMBANI KWA MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NEW YORK

  Iftar nyumbani kwa mwenyekiti wa tawi la CCM New York Bwana Seif Akida Bronx Ny.


 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani