Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM TAWI LA NEW YORK JIJI LA WASIOLALA HABARI NDIYO HII


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TEMBAPHOTO OFFICIAL PHOTOGRAPHER SIKU YA SHEREHE ZA CCM NEW YORK OMMY "DIMPOZ" NDIYO HABARI YA MJINI

 Ukumbi wa sherehe za CCM New York  tarehe 21 mwezi wa 2, Tembaphoto ndani ya mjengo kukuletea ukodak wa kiwango.

Ukiwa na shughuli yeyote inayohusu ukodak basi ni tembaphoto ndiyo suluhisho ya yote. Tembelea web site ya tembaphoto hili kujionea ubora wa picha.
http://tembaphoto.com/


 

10 years ago

Vijimambo

TAWI LA CCM NEW YORK

Uongozi wa CCM New York na vitongoji vyake unapenda kutoa shukran zake za dhaki kwa moiyo ya kujitolea kwa hali na mali kwa watu wote waliohudhuria sherehe ya CCM kutimiza miaka 38 mjini New York.Pia tunawashukuru wanachama wote na wasio wanachama kwa michango ilofanikisha shughuli hii na kuna wengine walichangia na hawakuja wote tunawashukuru.Shukran za pekee zimwendee mgeni rasmi mh. Ridhiwani Kikwete kwa ushauri na mema yote aliyotufanyia hata kuja kujiunga nasi kwenye sherehe juu ya kazi...

 

10 years ago

Vijimambo

TAWI LA CCM NEW YORK USA



TAWI LA CCM NY LINAUNGANA NA WANACHAMA WOTE WA CCM POPOTE WALIPOKUMPONGEZA MH. JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KUWA MGOMBEA WAURAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI. TAWI PIA LINAMPONGEZA MH. SAMIASULUHU KUWA MGOMBEA MWENZA. VIVYO HIVYO TAWI LINAMPONGEZA MH.MWENYEKITI DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE NA VIONGOZI WOTE KWA KAZI NZURINA NGUMU YA KUONGOZA VIKAO VYA CHAMA VILIVYOPELEKEA UTEUZI WA MH. JOHNPOMBE MAGUFULI.
KIDUMU CHAMA!!

UONGOZI WA TAWICCM-NY

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

SALAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA TAWI LA CCM NEW YORK


Kufuatia kifo cha kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi na kiongozi mstaafu wa serikali mzee wetu Samuel Luangisa kilichotokea tarehe 05/25/2015 mjini New York, Marekani. Chama Cha Mapinduzi tawi la New York na vitongoji vyake inaungana na familia ya marehemu mzee Luangisa na watanzania wote kuomboleza msiba huu mkubwa. Tunatoa rambirambi zetu kwa familia yake hapa Marekani, nyumbani Tanzania na watanzania wote. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amen.Imetolewa...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA NA WANA CCM WOTE WA TAWI LA NEW YORK.

Ni takribani siku 29 zimepitatangu marehemu Alfred Magege alipo aga dunia mnano 6/13/15 na kuzikwa6/28/15. Familia ya marehemu bado haijasahau na haitasahau moyo wapekee uliojaa upendo, faraja, ukarimu, umoja, mshikamano, undugu naurafiki wa kweli wakati wa kipindi hicho kigumu cha msiba.Kushiriki kwenu kumeipa familia imani, sababu, na nguvunyingine ya kuendelea kukabili maisha pasipo hofu tukitambua familiakubwa iliyotuzunguka kipindi hicho na Mwenyezi Mungu anayetunza sikukwa siku tukiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani