Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNDUMA HALI TETEE

Tunduma hali tete Chadema VS CCM. Watu wawili wamefariki mmoja kutoka Chadema na mwengine kutoka CCM baada ya kutokea vurugu. Wanachama wa CCM waliweka mawe barabarani kuwazuwia Chadema wasipite ndipo vijana wa Chadema waliposhuka kuondoa mawe […]

The post TUNDUMA HALI TETEE appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Dr. Agnes Kijazi, TMA Director General and Permanent Representative of Tanzania with the World Meteorological Organization (WMO) and Dr. Rob Varley, the UK Met Office Chief Executive Officer and Permanent Representative of UK with WMO signed a memorandum of understanding for a joint project in support of Climate Service Development in Tanzania. The signing ceremony was witnessed by Dr. Ladislaus Chang’a, TMA Director of Research and Applied Meteorology and Ms. Jane Wardley from the UK Met...

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza (UK Met Office) wamesaini mkataba wa makubaliano ya uboreshaji huduma za hali ya hewa hapa nchini. Mkataba huo umesainiwa tarehe 11 Novemba, 2014 wakati wa kikao cha masuala ya hali ya hewa (IBCS) kilichofanyika mjini Geneva Uswiss.
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...

 

11 years ago

Michuzi

SOKO KUU LA SANYA JUU MKOANI KILIMANJARO HALI SI HALI





Sanya Juu ni mji mdogo ndani ya wilaya Siha Mkoani Kilimanjaro ikiwa ni Km 25 toka Bomang'ombe  na KM 50 toka Moshi Mjini, weekend hii nilifanikiwa kuutembelea Mji wa Sanya Juu ambapo siku ya Jumamosi  mji huu huwa umechangamka kwa shamrashamra za kibiashara. katika pita pita zangu nilifanikiwa kulitembelea soko la mji huo, ila nilishangazwa na hali niliyo ikuta ya miundombinu isiyo kidhi na kulifanya soko kuonekana hatarishi kwawafanya biashara na wateja wao kiafya. Huu ni msimu wa...

 

10 years ago

TheCitizen

Lowassa’s plans for Tunduma

Chadema presidential candidate Edward Lowassa has promised to make the Tunduma border a 24-hour business hub.

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

BBCSwahili

Ukraine hali sio hali-22 wauawa

Angalau watu 22 wameuawa katika ghasia zilizozuka upya kati ya waandamanaji na polisi mjini Kiev Ukraine, baada ya makubaliano yaliyofikiwa kutibuka.

 

11 years ago

Daily News

Freighters deplore congestion at Tunduma


Toronto Sun
Freighters deplore congestion at Tunduma
Daily News
FREIGHTERS are calling on government to put more effort in decongesting the border between Tanzania and Zambia at Tunduma to rescue the Dar es Salaam Port from collapse. They argue that congestion at Tunduma border town makes the Dar es Salaam ...
Govt cautioned: Decongest Tuduma or risk killing Dar es Salaam PortIPPmedia
Tanzania bus collision kills at least 36, dozens injuredReuters

all 30

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yakabidhi kisima Tunduma

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye uwezo wa kutoa lita 5,000 kwa saa katika Hospitali ya Tunduma, wilayani Momba, Mbeya. Kisima hicho kimekabidhiwa jana na Ofisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani