Ukraine hali sio hali-22 wauawa
Angalau watu 22 wameuawa katika ghasia zilizozuka upya kati ya waandamanaji na polisi mjini Kiev Ukraine, baada ya makubaliano yaliyofikiwa kutibuka.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
10 years ago
Vijimambo
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

11 years ago
BBCSwahili20 Feb
EU yashindwa na hali Ukraine
10 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Oct
News:Mto pepo hali sio nzuri
Nikiwa live katika redio chuchufm, wananchi wakilalamika kwa matendo ya sheha baada ya kumaliza kupiga kura kuwepo nje ya kituo, wakati huo huo kazi yake kuonesha vidole kwa jeshi la Polisi kuwakamata vijana na kuchukuliwa, hali […]
The post News:Mto pepo hali sio nzuri appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
Hali yatokota mjini Kiev, Ukraine
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
Hali ya Mashariki mwa Ukraine ni tete
11 years ago
BBCSwahili08 Apr
Marekani yateta kuhusu hali Ukraine
11 years ago
Michuzi
SOKO KUU LA SANYA JUU MKOANI KILIMANJARO HALI SI HALI

Sanya Juu ni mji mdogo ndani ya wilaya Siha Mkoani Kilimanjaro ikiwa ni Km 25 toka Bomang'ombe na KM 50 toka Moshi Mjini, weekend hii nilifanikiwa kuutembelea Mji wa Sanya Juu ambapo siku ya Jumamosi mji huu huwa umechangamka kwa shamrashamra za kibiashara. katika pita pita zangu nilifanikiwa kulitembelea soko la mji huo, ila nilishangazwa na hali niliyo ikuta ya miundombinu isiyo kidhi na kulifanya soko kuonekana hatarishi kwawafanya biashara na wateja wao kiafya. Huu ni msimu wa...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
China hali sio nzuri, imebidi wanunue hewa safi kwenye chupa hizi.. (+Video)
Kumekuwa na ripoti mfululizo kuhusu ishu ya hali mbaya ya hewa iliyokumba nchi ya China ikafikia hatua mpaka baadhi ya viwanda vikalazimika kufungwa kwa muda. December 14 2015 nilikusogezea ripoti ya mgahawa mmoja China kuwatoza wateja wote kama Yuan 1 ambazo ni kama Tshs. 333 hivi kwa ajili ya kupata hewa safi ndani ya mgahawa huo, […]
The post China hali sio nzuri, imebidi wanunue hewa safi kwenye chupa hizi.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.