Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL YAPATA PIGO

Marehemu Robert Ridochi Tilya enzi za uhai wake. WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, watayarishaji wa magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa na Championi, wamepata pigo kwa kuondokewa na mfanyakazi mwenzao, Robert Ridochi Tilya aliyefariki alfajiri ya leo kwa ajali ya gari. Robert alipata ajali hiyo maeneo ya External-Ubungo jijini Dar baada ya Lori kumbana na gari aina ya Toyota Noah alilokuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Chadema Arusha yapata pigo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata pigo baada ya mapingamizi yake 155 kwa wagombea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Jiji la Arusha kutupwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raheem Sterling:Liverpool yapata pigo

Kilabu ya Liverpool imepata pigo baada ya mshambuliaji nyota Raheem Sterling kukataa kuanzisha mazungumzo juu ya mkataba mpya

 

10 years ago

BBCSwahili

Usalama Kenya:Serikali yapata pigo.

Serikali ya Kenya imeshindwa katika jaribio lake la kupinga uamuzi wa mahakama kuhusu sheria mpya ya usalama iliozua tetesi.

 

5 years ago

CCM Blog

CHADEMA YAPATA PIGO JIJI LA MBEYA


  Madiwani 11 wa Chadema Halmashauri  ya Jiji la Mbeya akiwemo Meya wa Jiji hilo wamejiuzulu na kuhamia CCM leo Jumatatu Februari 24, 2020.
Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa...

 

9 years ago

Bongo5

Arsenal yapata pigo jingine jipya

hi-res-72691e3dd61baaaaecea47125f14ebee_crop_north

Klabu ya Arsenal itamkosa kiungo wake wa kati Santi Cazorla hadi Machi mwakani, meneja wake, Arsene Wenger ameleeza.

hi-res-72691e3dd61baaaaecea47125f14ebee_crop_north

Mchezaji huyo anayechezea timu ya taifa ya Hispania, aliumia goti wakati wa mchezo kati ya Arsenal na Norwich ulioisha kwa sare ya 1-1. Klabu hiyo tayari ina majeruhi kiungo wao mwingine wa kati Francis Coquelin atakayekaa nje miezi mitatu baada ya kuumia goti.

Beki wa kati Laurent Koscielny na mshambuliaji Theo Walcott wameshapona majeraha yao na watarejea uwanjani.

Alexis...

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal yapata pigo kuumia kwa Walcott

Mshambuliaji wa Arsenal Theo Walcott kukosa mechi zijazo

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yapata pigo, nani ataimba kama Komba?

>Mbunge wa Mbinga Magharibi na mkurugenzi wa kundi la uhamasishaji la CCM, Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni mstaafu John Komba (61), amefariki dunia jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yapata pigo Afrika Kusini kabla ya kuivaa Yanga

Klabu ya Simba imepata pigo jingine kabla ya kukutana na wapinzani wao wa jadi Yanga baada ya kipa wao Hussein Sharrif ‘Casillas’ kuumia ugoko katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Orlando Pirates nchini Afrika Kusini walipoweka kambi.

 

9 years ago

Bongo5

Man United yapata pigo baada ya beki wake Luke Shaw kuvunjika mguu

Manchester United imepata pigo baada ya beki wake wa kushoto, Luke Shaw kuvunjika mguu. Kutokana na majeraha hayo, mchezaji huyo atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi sita. Luke aliumua kwenye mchezo wa jana wa ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji PSV nchini Uholanzi. Katika mchezo huo United ililala 2-1. Shaw alimwaga machozi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani