Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbeya kuanza kutekeleza agizo la Dk Magufuli

Zaidi ya Sh3.5milioni zimetumika kununulia  dawa kwa ajili ya wagonjwa  wa virusi vya ukimwi Mkoani Mbeya ikiwa ni utekelezaj agizo la Rais Dk  John Magufuli  la kuzitaka fedha zote zilizotengwa kwa ajili ya  kufanya sherehe ya maadhimisho ya siku ya ukimwi dunia kununulia dawa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKOA WA DODOMA WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI LA KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU 9 DISEMBA, 2015

Mkoa wa Dodoma umeanza rasmi kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli lililotaka kufanyika kwa usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya nchi siku ya tarehe 9 Disemba, 2015 kama mojawapo ya maadhimisho ya siku ya uhuru na kuwataka viongozi na wataalamu kusimamia utekelezaji wa agizo hilo. 
 Uongozi wa Mkoa umeamua kuanza mapema zoezi la ufanyaji usafi pasipo kusubiri tarehe 9 Disemba na umepanga kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu...

 

9 years ago

Michuzi

MSD YAKARABATI JENGO LA DUKA LA DAWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA KASI KUBWA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS DK.MAGUFULI

Na Dotto Mwaibale

BOHARI ya Dawa (MSD) imejiimarisha na kuhahikisha inatekeleza kwa wakati agizo la Rais Dk. John Magufuli la kuweka maduka ya dawa katika hospitali za rufaa na kanda nchini.

Katika kutekeleza agizo hilo MSD imeanza kwa kasi kubwa ya kukarabati jengo la duka la dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambalo linatarajiwa kufunguliwa kesho.

Mwandishi wa habari hii alishuhudia jana kasi kubwa ya mafundi ujenzi wakikarabati jengo hilo ambalo awali lilikuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Tamisemi yaanza kutekeleza agizo

Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeziagiza halmashauri nchini kuanzisha programu maalumu ya chakula kwa shule zote za msingi zilizokuwa zikichangiwa na wazazi.

 

10 years ago

Habarileo

Rukwa wahaha kutekeleza agizo la JK

MKOA wa Rukwa unakabiliwa na changamoto ya kukamilisha agizo la Rais Jakaya Kikwete juu ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini ifikapo mwishoni mwa mwaka huu, baada ya kubainika asilimia 10.6 ndizo zimekamilisha ujenzi huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Watakaoshindwa kutekeleza agizo la JK wapewe tiketi ya kwaheri

Zimesalia siku chache kabla ya kuingia mwezi mwingine wa Novemba. Ni mwezi mchungu kwa watendaji wa wilaya kupitia halmashauri mbalimbali waliopewa hadi mwezi huo

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo ya nje kutekeleza agizo la Rais ‘kijeshi’

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema imeanza kutekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa haraka kama jeshi juu ya kuiwakilisha Serikali katika masuala mbalimbali nje ya nchi baada ya kusitishwa safari za nje kwa maofisa wote wa ndani.

 

10 years ago

GPL

MANISPAA YA KINONDONI YAENDELEA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS LA KUONDOA MAJI KWENYE MAKAZI YA WATU

Mkuu wa mkoa wa Dar es slaam,Saidi Meck Sadiki(katikati) akiangalia athari ya maji yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni jijini Dar es slaam akiwa ameambatana na wakazi wa eneo hilo la Kunduchi Ununio.Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na DAWASA inaendelea na zoezi la kuyaondoa maji hayo pamoja na ujenzi wa mfereji mkubwa kuelekea baharini utakaokusanya maji kutoka Bunju na Kunduchi na kuyapeleka bahari ya...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA MWENDA AANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS LA KUONDOA MAJI KATIKA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO MBWENI, BOKO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akikagua athari za mafuriko katika eneo la Mbweni, Dar es Salaam alipofanya ziara katika maeneo mbalimbali yaliyoathiriwa na mvua zilizokuwa zikinyesha mwishoni mwa wiki jijini. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadick, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda wakiangalia athari za mafuriko wakati walipotembelea maeneo yya Mbweni, Boko na maeneo mengine yaliyoathiriwa na mvua zilizonyesha kwa mfululizo jijini hivi karibuni. Meya wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MEYA KINONDONI AANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS LA KUONDOA MAJI KATIKA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO MBWENI, BOKO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akikagua athari za mafuriko katika eneo la Mbweni, Dar es Salaam alipofanya ziara katika maeneo mbalimbali yaliyoathiriwa na mvua zilizokuwa zikinyesha mwishoni mwa wiki jijini.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadick, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda wakiangalia athari za mafuriko wakati walipotembelea maeneo yya Mbweni, Boko na maeneo mengine yaliyoathiriwa na mvua zilizonyesha kwa mfululizo jijini hivi karibuni.
Meya wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani