Lowassa afunika Arusha
Arusha. Shughuli mbalimbali jijini Arusha jana zilisimama kwa muda wakati umati wa watu ulipofurika kumlaki Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyewasili mkoani hapa kwa ajili ya kuendesha harambee ya ujenzi wa Msikiti wa Patandi ulioko wilayani Arumeru.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 Aug
LOWASSA AFUNIKA DAR ES SALAAM
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
JIJI la Dar es Salaam limezizima kwa takribani saa 13 jana wakati maelfu ya wafuasi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) walipomsindikiza mgombea urais wa umoja huo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Wafuasi hao ambao hawakuonyesha kuchoka wala kupata muda wa kula, walianza kufika ofisi za makao makuu ya Chama cha Wananchi (CUF), Buguruni kuanzia saa 11:00 alfajiri kumsubiri Lowassa na viongozi...
10 years ago
Vijimambo
LOWASSA AFUNIKA KYELA MKOANI MBEYA




10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Lowassa afunika nyumbani Kwa Dk. Slaa



10 years ago
Dewji Blog18 Oct
Mkutano wa Kihistoria tena Mbeya, Edward Lowassa afunika umati wafurika!
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi “Sugu”, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba kura pamoja na kunadi sera...
10 years ago
Vijimambo
LOWASSA AFUNIKA KWA NYUMBANI KWA DK. SLAA



9 years ago
Mwananchi14 Nov
Lowassa hadharani Arusha leo
9 years ago
Habarileo12 Dec
Kinana amvaa Lowassa Arusha
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, aliyedai kuwa kazi nzuri anazofanya Rais John Magufuli, ni utekelezaji wa sera za vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
10 years ago
Michuzi14 Aug
LOWASSA KUJITAMBULISHA KESHO ARUSHA
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa ambaye ni mgombea Urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)anatarajiwa kupokelewa kwa mapokezi makubwa ikiwemo magari,pikipiki,katika uwanja wa ndege wa kia hadi viwanja vya tindigani kata ya kimandolu jijini Arusha siku ya jumamosi(kesho tarehe 15) ambapo atahutubia wananchi katika mkutano ulioandaliwa na chama hicho
Akizungumza mapema jana na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho juu ya maandalizi hayo Mwenyekiti wa...
10 years ago
Mtanzania30 May
Lowassa aipeleka nchi Arusha
ABRAHAMU GWANDU NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
NYUMBA za kulala wageni katika Jiji la Arusha na viunga vyake zimeanza kufurika kutokana na makundi ya watu yanayowasili jijini hapa kushuhudia mwanzo wa ‘Safari ya Matumaini’ ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, anayoianza rasmi leo.
Mwanasiasa huyo mwenye ushawishi mkubwa miongoni mwa makada wa CCM walioonyesha nia ya kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho, anatarajiwa kutangaza nia leo kuanzia saa 8 mchana katika...