Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AFUNIKA KWA NYUMBANI KWA DK. SLAA

 Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo Oktoba 9, 2015. Picha zote na Othman Michuzi.
  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Lowassa afunika nyumbani Kwa Dk. Slaa

  Sehemu ya wananchi wa Mji wa Karatu, wakionyesha furaha yao baada ya kuiona Chopa inayotumiwa na Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili kwenye Uwanja wa Mkutano, Mjini Karatu, Mkoani Manyara  Oktoba 9, 2015. Kikundi cha Ngoma ya Asili kikitoa Burudani katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika...

 

9 years ago

Mwananchi

Mbowe: Kwa nini Lowassa, si Dk Slaa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana alitua kwa mara ya kwanza kwenye Jimbo la Karatu ambako Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alitumia nafasi hiyo kuwaeleza wananchi sababu za kumuacha Dk Willibrod Slaa kugombea urais na badala yake kumteua waziri huyo mkuu wa zamani.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa atetemesha nyumbani kwa Pinda

MMGL0725WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amepata wadhamini zaidi ya 7000 katika mikoa ya Katavi na Rukwa, ambako ni nyumbani kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye naye anawania urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Akiwa mkoani Katavi ambao ni mkoa mpya alikozaliwa Waziri Mkuu Pinda, alipata wadhamini 3,450 huku Rukwa akipata wadhamini zaidi ya 4000.
Mkoa wa Katavi kabla ya kuwagawanywa ulikuwa unaunda mkoa wa Rukwa.
Lowassa aliwasili jana mchana mkoani Katavi akitokea Mkoa wa Kigoma na...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Lowassa afunika Arusha

Arusha. Shughuli mbalimbali jijini Arusha jana zilisimama kwa muda wakati umati wa watu ulipofurika kumlaki Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyewasili mkoani hapa kwa ajili ya kuendesha harambee ya ujenzi wa Msikiti wa Patandi ulioko wilayani Arumeru.

 

11 years ago

GPL

FLORA AFUNIKA KWA MAUNO

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi amenaswa akiwafunika vibaya mastaa wenzake kwa kunengua. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi. Mpambano huo usio rasmi ulichukuwa nafasi wiki iliyopita katika Ukumbi wa New Maisha, Masaki jijini Dar ambapo kulikuwa na shoo maarufu kwa jina la Bunyerobunyero. Flora alipoulizwa na mwanahabari wetu juu ya ufundi huo wa kucheza Kibao Kata kilichokuwa kikipigwa na kuwazidi mastaa...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE AKAMATWA KWA UNGA WA BIL.2 NYUMBANI KWA MBUNGE

Mwanamke (Doreen John Mlemba) anayedaiwa kukamatwa na unga. Na Makongoro Oging’/Uwazi MWANAMKE mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Doreen John Mlemba, mwenyeji wa Same mkoani Kilimanjaro, mwishoni mwa mwaka uliopita alikamatwa kwa kuhusishwa na shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin, yenye thamani ya shilingi bilioni 2.5. Madawa hayo yalikutwa kwenye nyumba moja iliyopo eneo la Ununio, Tegeta jijini Dar es Salaam,...

 

9 years ago

Mtanzania

Kortini kwa kuingia nyumbani kwa Mzee Mwinyi

mwinyi1bcNA MANENO SELANYIKA, DAR ES SALAAM

MKAZI wa Ilala Mtaa wa Lindi, Hafidhi Ally (23), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kuvamia kisha kuingia nyumbani kwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi.

Mbele ya Hakimu Ester Kihiyo, karani wa mahakama hiyo, Mosses Mchome, alidai kwamba mtuhumiwa alifanya kosa hilo Desemba 10, mwaka huu saa 7:30 usiku nyumbani kwa Mzee Mwinyi,  Mikocheni B, Dar es Salaam.

Karani Mchome aliiambia mahakama hiyo kwamba, Hafidhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani