Lowassa afunika nyumbani Kwa Dk. Slaa
Sehemu ya wananchi wa Mji wa Karatu, wakionyesha furaha yao baada ya kuiona Chopa inayotumiwa na Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili kwenye Uwanja wa Mkutano, Mjini Karatu, Mkoani Manyara Oktoba 9, 2015.
Kikundi cha Ngoma ya Asili kikitoa Burudani katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-nGgbF4id45o/Vhfj9i8khgI/AAAAAAABW5M/EbQsY1D2Hz4/s72-c/OTH_6374.jpg)
LOWASSA AFUNIKA KWA NYUMBANI KWA DK. SLAA
![](http://4.bp.blogspot.com/-nGgbF4id45o/Vhfj9i8khgI/AAAAAAABW5M/EbQsY1D2Hz4/s640/OTH_6374.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0IBpqV3cSik/Vhfj9sWZl2I/AAAAAAABW5Q/larOsTwk1a4/s640/OTH_6507.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IiOkvxoyenU/Vhfj40xw8-I/AAAAAAABW4s/nEEYl5muVNQ/s640/OTH_6083.jpg)
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Mbowe: Kwa nini Lowassa, si Dk Slaa
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Lowassa atetemesha nyumbani kwa Pinda
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amepata wadhamini zaidi ya 7000 katika mikoa ya Katavi na Rukwa, ambako ni nyumbani kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye naye anawania urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Akiwa mkoani Katavi ambao ni mkoa mpya alikozaliwa Waziri Mkuu Pinda, alipata wadhamini 3,450 huku Rukwa akipata wadhamini zaidi ya 4000.
Mkoa wa Katavi kabla ya kuwagawanywa ulikuwa unaunda mkoa wa Rukwa.
Lowassa aliwasili jana mchana mkoani Katavi akitokea Mkoa wa Kigoma na...
10 years ago
Mwananchi16 May
Lowassa afunika Arusha
10 years ago
Mtanzania11 Aug
LOWASSA AFUNIKA DAR ES SALAAM
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
JIJI la Dar es Salaam limezizima kwa takribani saa 13 jana wakati maelfu ya wafuasi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) walipomsindikiza mgombea urais wa umoja huo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Wafuasi hao ambao hawakuonyesha kuchoka wala kupata muda wa kula, walianza kufika ofisi za makao makuu ya Chama cha Wananchi (CUF), Buguruni kuanzia saa 11:00 alfajiri kumsubiri Lowassa na viongozi...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-bemXipCgV34/ViUpWjoB0NI/AAAAAAABXtI/n9tZtC7pYso/s72-c/1.jpg)
LOWASSA AFUNIKA KYELA MKOANI MBEYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-bemXipCgV34/ViUpWjoB0NI/AAAAAAABXtI/n9tZtC7pYso/s640/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-EQHfGiAtr7E/ViUpViaDguI/AAAAAAABXs4/GPcmBrncVpk/s640/002.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Q-tpQJFp0zo/ViUpVnXOziI/AAAAAAABXs0/9n4Vy4uXavs/s640/02.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-s4mabfVeaAw/ViUpZHJK4YI/AAAAAAABXtY/neaU2_Bg_cY/s640/3.jpg)
10 years ago
Vijimambo29 Mar
BREAKING NEWZZZZ RIPOTI MPYA YAMBIO ZA URAIS YATOKA,NI LOWASSA NA MWIGULU KWA CCM,CHADEMA NI SLAA
![](https://scontent-mad.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/22704_1569880066600782_5729300747823912878_n.jpg?oh=fb2b3e73471792eff272f55885ecb6d5&oe=55BA6448)
![](https://fbcdn-sphotos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xat1/v/t1.0-9/11088391_1569879943267461_6356965142291801367_n.jpg?oh=98c95caf8f7e226648aac5ff9fb1e72d&oe=55A2A432&__gda__=1438144826_c25d0eba2b617db29bac257850f9a5af)
![](https://scontent-mad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t1.0-9/11083873_1569879993267456_2357284592050219961_n.jpg?oh=c8ead43229af3eba53df416d885472cd&oe=55B11F22)
![](https://scontent-mad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t1.0-9/11113836_1569880109934111_7712167609056260833_n.jpg?oh=fe0ce65d12eaf144fed451ec7cb4b46b&oe=55B06A9F)
Ripoti hi imetolewa hi leo Jijini DSm,Ripoti yote itawajia
9 years ago
Dewji Blog18 Oct
Mkutano wa Kihistoria tena Mbeya, Edward Lowassa afunika umati wafurika!
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi “Sugu”, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba kura pamoja na kunadi sera...
10 years ago
Mtanzania13 Nov
Ni Lowassa vs Slaa
Fredy Azzah na Elias Msuya
RIPOTI ya utafiti ya taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza yenye kichwa cha habari, ‘Tanzania kuelekea 2015’, imeonesha kuwa asilimia 47 ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, hawatarejea bungeni katika uchaguzi mkuu ujao.
Utafiti huo ujulikanao kama sauti za wananchi ulifanywa kwa njia ya simu ambapo mwaka 2012 watu waliohojiwa ni 2,000, mwaka 2013 1,574 na mwaka 2014 watu waliohojiwa ni 1,445.
Ripoti hiyo inaeleza kuwa, asilimia 47 ya wananachi...