Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA KUJITAMBULISHA KESHO ARUSHA


Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa ambaye ni mgombea Urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)anatarajiwa kupokelewa kwa mapokezi makubwa ikiwemo magari,pikipiki,katika uwanja wa ndege wa  kia hadi viwanja vya tindigani kata ya kimandolu jijini Arusha siku ya jumamosi(kesho tarehe 15) ambapo atahutubia wananchi katika mkutano ulioandaliwa na chama hicho
Akizungumza mapema jana na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho juu ya maandalizi hayo Mwenyekiti wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WATIA NIA CCM WAENDELEA NA ZIARA YA KUJITAMBULISHA KATIKA KATA MBALIMBALI JIMBO LA ARUSHA MJIN

SAM_4061Mtia nia ya ubunge kwa CCM Philemon Mollel akizungumza katika mkutano wa kujinadi mbele ya wana CCM wa kata ya Sinoni jijini Arusha ili kuomba ridhaa yakuteuliwa na chama chake kuwania ubunge wa jimbo la Arusha katika uchaguzi wa mwezi Oktoba Mwaka huu.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).SAM_4098Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya Sakina jijini...

 

10 years ago

Mtanzania

Mbowe kumtambulisha Lowassa Mbeya kesho

lowassa na mboweNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kitengo cha moyo alipokuwa amelazwa kwa saa 48.

Kutokana na afya yake kuimarika, kiongozi huyo wa upinzani kesho anatarajiwa kushiriki katika mkutano wa kumtambulisha mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa, utakaofanyika jijini Mbeya.

Mbowe aliyehudumiwa na jopo la madaktari nane baada ya kushindwa kuhitimisha maandamano ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miss Arusha City Center kesho

SHINDANO la kumsaka Redd’s Miss Arusha City Center 2014 linatarajiwa kurindima katika hoteli ya kitalii ya Naura Spring iliyoko katikati ya Jiji la Arusha, kesho. Waandaji wa shindano hilo, Pendo...

 

10 years ago

Habarileo

Ligi Arusha Mjini kuanza kesho

LIGI ya soka daraja la nne ngazi ya wilaya ya Arusha inatarajia kuanza kutimua vumbi jijini hapa kesho Julai 15 mwaka huu katika viwanja mbalimbali.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho

Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 na kesho atakuwa Tanga.

 

10 years ago

GPL

SHINDANO LA VIPAJI LA TMT KUHAMIA ARUSHA KESHO

Majaji wakitoa neno kwa washiriki (hawapo pichani). Tano bora ya washiriki kabla ya kuchujwa na kubakiwa watatu walioondoka na laki tano kila mmoja. Mmoja wa washiriki kutoka Mwanza akisubiri majibu kama atakuwa mshindi. LILE shindano la kusaka vipaji vya kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT), leo lilifika…

 

10 years ago

Mwananchi

Hekaheka kwa Lowassa, Wasira kuwa ‘live’ kesho

Arusha/Morogoro. Wakati mji wa Arusha umekumbwa na hekaheka nyingi kwa ajili ya maandalizi ya shughuli ya leo ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangaza nia ya kugombea urais, kada mwingine wa CCM, Steven Wasira amesema ataonekana moja kwa moja kwenye televisheni mbili wakati akitangaza nia kesho.

 

9 years ago

Global Publishers

Lowassa kufanya ziara nchi nzima kuanzia kesho

LOWASSA_0.jpgEdward Lowassa. Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 na kesho atakuwa Tanga. Katika ziara hiyo, Lowassa ataambatana na viongozi waandamizi wa Chadema na Ukawa kuwashukuru wananchi kwa namna walivyounga mkono upinzani na ajenda nzima ya mabadiliko katika Uchaguzi Mkuu uliopita. Taarifa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani