Mbowe kumtambulisha Lowassa Mbeya kesho
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kitengo cha moyo alipokuwa amelazwa kwa saa 48.
Kutokana na afya yake kuimarika, kiongozi huyo wa upinzani kesho anatarajiwa kushiriki katika mkutano wa kumtambulisha mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa, utakaofanyika jijini Mbeya.
Mbowe aliyehudumiwa na jopo la madaktari nane baada ya kushindwa kuhitimisha maandamano ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMBOWE KUTIKISA MWANZA KESHO
9 years ago
Vijimambo28 Aug
Mbowe: Njooni Jangwani kesho
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mbowe-28August2015.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefuta mzizi wa fitina kuhusiana na tishio la kuzuiwa kufanya mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kesho kwa kuwataka wajitokeze siyo kwa maelfu bali kwa mamilioni.
Akizungumza katika kongamano la kina mama lililoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) jijini Dar es Salaam jana, Mbowe alisema mgombea wao, Edward Lowassa na mgombea mwenza, Juma Dunia Haji, watahutubia mkutano...
11 years ago
Mwananchi07 May
Mbowe kutangaza Baraza Kivuli kesho
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Mbowe, Lowassa wamsomesha JK
KIONGOZI Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, wameikosoa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete, wakisema kuwa ajira kwa vijana ni bomu linalofanyiwa mzaha. Hii...
10 years ago
Vijimambo10 Mar
Lowassa, Mbowe wajitokeza Kahama.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowassa-10March2015.jpg)
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2620198/highRes/442879/-/maxw/600/-/pe6po3z/-/MBOWE.jpg)
Akizungumza kwa niaba ya Lowassa ambaye pia ni mbunge wa Monduli, mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja, alisema mbunge huyo ametoa rambIrambi ya Sh. milioni tano kwa ajili ya wananchi wote...
10 years ago
IPPmedia04 Aug
Mbowe: Dr Slaa was against Lowassa move
IPPmedia
Chadema National Chairman Freeman Mbowe yesterday admitted having differed with Secretary General Wilbrod Slaa in accepting former Premier Edward Lowassa to join Chadema. Mbowe also allayed concerns that Slaa has seceded in protest of ...
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Mbowe: Kwa nini Lowassa, si Dk Slaa
10 years ago
Habarileo04 Aug
Mbowe akiri Slaa ‘alimkataa’ Lowassa
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amekiri kuwa Katibu Mkuu wao, Dk Willibrod Slaa alitofautiana nao katika kumkubali aliyekuwa kada wa CCM, Edward Lowassa kujiunga nao, na sasa amepewa mapumziko.
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Lowassa, Mbowe wasaidia waathirika Kahama
Sitta Tumma na Paul Kayanda, Kahama
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), ametoa msaada wa Sh milioni 5 kwa waathirika wa mafuriko wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga.
Fedha hizo zilikabidhiwa jana na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ali Rufunga.
Wakati wa makabidhiano hayo, waathirika 250 waliohifadhiwa katika Shule ya Msingi Mwakata, walikuwapo pia.
Akizungumza kwa niaba ya Lowassa, Mgeja alisema mbunge huyo alisema yeye na familia yake...