MBOWE KUTIKISA MWANZA KESHO
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Alfred Rwakatare akitoa maelekezo. Walinzi wa Chadema wakiwa katika…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog09 Aug
Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza
Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Bella kutikisa Dar Live kesho
Na Mwandishi Wetu
MKALI wa sauti, Christian Bella, anatarajiwa kupagawisha mashabiki wake kesho kwenye ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Msanii huyo anatarajia kushuka jukwaani na wimbo mpya ambao anatamba nao kwa sasa alioufanya na mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide, uitwao Acha Kabisa.
Mkali huyo mwenye kibao cha ‘Nashindwa’ anatarajia kufunga mwaka kwa kukata kiu kwa mashabiki wake kwa kuimba na kucheza ngoma zake zote kali kama vile Nani Kama Mama,...
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Malope kutikisa Mwanza Aprili 4
BAADA ya kuweka historia katika Tamasha la Pasaka mwaka 2012, Malkia wa muziki wa injili Afrika Kusini, Rebecca Malope, anatarajia kuuinua umati wa mashabiki wa muziki huo jijini Mwanza, Aprili...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V3ri3ykXuD59Et-YwD*-4dGwScrS0Y1pQJdF9alxZwtGbGkvhltQo2bqd74JkodwXQeDUI2o70TEoSYV4yq3VRmH002bL1sV/MwanaDar.jpg)
WAKALI HAWA KUTIKISA PASAKA DAR LIVE KESHO
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Lowassa aaga Mwanza, kutikisa Mbeya
Na Fredy Azzah, Mwanza
ZIKIWA zimebaki siku nane kuanzia sasa kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amemaliza mikutano yake ya kampeni katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa kuwasisitiza wanachama wake kuhakikisha wanalinda kura zao.
Baada ya kumaliza ziara zake katika kanda hiyo, Lowassa, anayeungwa mkono na vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), leo anatarajia kuanza mikutano mkoani Mbeya.
Mkoa...
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Mzee Yushuph, Kopa kutikisa Kili Music Tour Tanga kesho
MFALME na Malkia wa Taarab, Mzee Yusuph na Khadija Kopa, ni miongoni mwa wasanii wanaotarajiwa kupamba show ya Kili Music Tour inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager itakayofanyika kesho...
10 years ago
Dewji Blog13 Nov
Tigo, Original Komedi na Wasanii kibao kutikisa jiji la Mwanza kwenye tamasha la Welcome Pack jumamosi hii
Meneja wa Bidhaa wa Tigo Bw. Edwin Mgoa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza tamasha kubwa la Tigo welcome pack litakalofanyika uwanja wa ccm Kirumba jijini Mwanza Jumamosi ya wiki hii, tamasha hili litaweza kuwapa wananchi fursa ya kupata maelezo ya kina kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo.
Msanii wa kundi la Original Komedi Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja akitoa vionjo kwenye mkutano wa waandishi wa habari(hawapo pichani) kwa ajili...
9 years ago
Vijimambo28 Aug
Mbowe: Njooni Jangwani kesho
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mbowe-28August2015.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefuta mzizi wa fitina kuhusiana na tishio la kuzuiwa kufanya mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kesho kwa kuwataka wajitokeze siyo kwa maelfu bali kwa mamilioni.
Akizungumza katika kongamano la kina mama lililoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) jijini Dar es Salaam jana, Mbowe alisema mgombea wao, Edward Lowassa na mgombea mwenza, Juma Dunia Haji, watahutubia mkutano...
11 years ago
Mwananchi07 May
Mbowe kutangaza Baraza Kivuli kesho