Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe: Njooni Jangwani kesho



Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefuta mzizi wa fitina kuhusiana na tishio la kuzuiwa kufanya mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kesho kwa kuwataka wajitokeze siyo kwa maelfu bali kwa mamilioni.

Akizungumza katika kongamano la kina mama lililoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) jijini Dar es Salaam jana, Mbowe alisema mgombea wao, Edward Lowassa na mgombea mwenza, Juma Dunia Haji, watahutubia mkutano...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA kuwasha moto kesho Jangwani

MWENYEKITI wa Kamati ya Ufundi na Oganaizesheni ya Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA), Benson Kigaila, amesema serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM), inawaandaa watanzania kusaka njia mbadala ya kutafuta...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa ruksa kuzindua kampeni Jangwani kesho

Hatimaye Chadema imeruhusiwa kutumia Viwanja vya Jangwani kwa ajili ya kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais, Edward Lowassa kesho.

 

9 years ago

Vijimambo

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU CCM YAKAMILIKA, MAGUFULI, SAMIA KUUNGURUMA JANGWANI KESHO

 Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma 'Gadafi' akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake leo asubuhi, kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya uzinduzi wa mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama hicho utaofanyika kesho viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Picha zikichukuliwa.
Na Dotto Mwaibale
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza ratiba ya uzinduzi wa kampeni za...

 

10 years ago

GPL

MBOWE KUTIKISA MWANZA KESHO

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema,  Alfred Rwakatare akitoa maelekezo. Walinzi wa Chadema wakiwa katika…

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe kutangaza Baraza Kivuli kesho

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kesho atatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri.

 

10 years ago

Mtanzania

Mbowe kumtambulisha Lowassa Mbeya kesho

lowassa na mboweNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kitengo cha moyo alipokuwa amelazwa kwa saa 48.

Kutokana na afya yake kuimarika, kiongozi huyo wa upinzani kesho anatarajiwa kushiriki katika mkutano wa kumtambulisha mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa, utakaofanyika jijini Mbeya.

Mbowe aliyehudumiwa na jopo la madaktari nane baada ya kushindwa kuhitimisha maandamano ya...

 

10 years ago

Vijimambo

DEADLINE NI KESHO ....MWISHO WA KUNUNUA TICKET ZA DISCOUNT KWA $75 NI KESHO ,BAADA YA KESHO ZITAKUWA $100.

           NUNUA YAKO SASA INGIA..    WWW.DIAMONDUSATOUR.COM AU PIGA 3016616207 NOW.

 

11 years ago

Mwananchi

Sumaye: Njooni muwekeze nyumbani

Uingereza.Waziri mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amesema Tanzania inazo fursa nyingi za uwekezaji, mazingira yanayovutia, uchumi imara na sera nzuri na kuwataka Watanzania

 

11 years ago

GPL

Tambwe: Yanga njooni tuzungumze

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Hans Mloli
MSHAMBULIAJI wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe, amesema yupo tayari kukaa chini na kufanya mazungumzo na klabu yoyote inayokubali kazi yake uwanjani, ikiwemo Yanga.
Tambwe, raia wa Burundi ambaye mpaka sasa anaongoza kwa kufumania nyavu mara 19 kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara, anazitoa udenda timu nyingi za ligi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani