Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye: Njooni muwekeze nyumbani

Uingereza.Waziri mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amesema Tanzania inazo fursa nyingi za uwekezaji, mazingira yanayovutia, uchumi imara na sera nzuri na kuwataka Watanzania

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Mbowe: Njooni Jangwani kesho



Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefuta mzizi wa fitina kuhusiana na tishio la kuzuiwa kufanya mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kesho kwa kuwataka wajitokeze siyo kwa maelfu bali kwa mamilioni.

Akizungumza katika kongamano la kina mama lililoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) jijini Dar es Salaam jana, Mbowe alisema mgombea wao, Edward Lowassa na mgombea mwenza, Juma Dunia Haji, watahutubia mkutano...

 

11 years ago

GPL

Tambwe: Yanga njooni tuzungumze

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Hans Mloli
MSHAMBULIAJI wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe, amesema yupo tayari kukaa chini na kufanya mazungumzo na klabu yoyote inayokubali kazi yake uwanjani, ikiwemo Yanga.
Tambwe, raia wa Burundi ambaye mpaka sasa anaongoza kwa kufumania nyavu mara 19 kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara, anazitoa udenda timu nyingi za ligi...

 

11 years ago

BBCSwahili

ISIS: Njooni mulijenge jimbo la kiislamu

Kiongozi wa kundi la jihadi ISIS, amewataka waumini wa kiislamu waelekee Iraq na Syria kusaidia kulijenga jimbo jipya la kiislamu

 

11 years ago

BBCSwahili

Njooni mtusaidie - Iraq kwa Marekani

Iraq imeomba rasmi usaidizi wa Marekani kushambulia kwa ndege wapiganaji wa kiislamu walioteka miji kadhaa nchini humo wiki hii.

 

11 years ago

GPL

CLOUD 112 : NJOONI MSHUHUDIE NITAKAVYOMTWANGA JB

Staa wa filamu nchini, Issa Musa 'Cloud 112' amesema atamtwanga msanii mwenzake Jacob Steven 'JB' katika raundi ya kwanza kwenye mpambano wao wa ndondi utakaopigwa kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar, Agosti 8, 2014!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miyeyusho: Njooni muone ninavyomkalisha Mkenya

MWANAMASUMBWI Francis Miyeyusho wa Tanzania, anakabiliwa na pambano dhidi ya David Chalanga wa Kenya, litakalopigwa Desemba 31 katika Ukumbi wa Msasani Club, jijini Dar es Salaam. Ni pambano muhimu kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mjadala; Watanzania Diaspora, Tunawataka wajenge vihenge nyumbani, lakini hatutaki wawe na haki kama tulio nyumbani, kwanini?

MJENGWA

Ndugu zangu,

Leo alfajiri niliongoza mjadala kwenye redio za Kwanza Jamii na Nuru FM kuhusiana na kongamano linaloendelea Dar la Watanzania wa Diaspora wanaokutana nyumbani, Tanzania.

Ni kwa nini tuna hofu na Watanzania wenzetu walio ughaibuni? Hofu hii ni ya kihistoria.

Kwanini kongamano hili la kwanza kufanyika lisiwe la mwisho kufanyika katika sura yake hii, kwamba maudhui ya kongamano yenyewe kuwa ni ; connect, engage, inform and ivest nako kunakosekana dhana integration kwa maana ya...

 

10 years ago

GPL

DK. SEIF: WAWEKEZAJI NJOONI BONDE LA MTO RUFIJI

Stori: Hashim Aziz
Mheshimiwa Dokta Seif Seleman Rashid ambaye pia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, ndiye Mbunge wa Jimbo la Rufiji (CCM) ambalo wiki iliyopita, Gazeti la Uwazi lilifunga safari na kwenda kujionea matatizo mbalimbali yanayowakabili wananchi wa jimbo hilo na jinsi mbunge wao alivyotimiza ahadi zake. Mheshimiwa Dokta Seif Seleman Rashid. Jimbo hilo ambalo asili ya jina lake inatokana na Mto Rufiji unaopita...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani