JULIO APATA PIGO, MDOGO WAKE AUWAWA NCHINI AFRIKA KUSINI
Kiungo wa zamani wa Malindi ya Zanzibar, Shaku Kihwelo amefariki dunia baada ya kumwagiwa maji na mtu mmoja aliyetambulika kuwa ni raia wa Zimbabwe.Kiungo huyo ambaye ni mdogo wa Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo amefariki dunia nchini Afrika Kusini na tayari tayaribu za kuleta mwili wake nchini kwa ajili ya mazishi zimeanza.Kaka yake mwingine, Mwanamtwa Kihwelo amethibitisha kuhusiana na kifo cha mdogo wake huyo aliyewahi pia kuichezea Twiga FC.
"Kweli alimwagiwa maji na huyo Mzimbabwe...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Jose Chameleone apata pigo afiwa na mdogo wake AK47
Na Mwandishi Wetu
MWANAMUZIKI wa dancehall, Emmanuel Mayanja (AK47) ambaye ni mdogo wa mwanamuziki Jose Chameleone, amefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kudondoka vibaya akiwa bafuni.
Mayanja, ambaye ndiye mdogo pekee wa Chameleone aliyebaki katika lebo yake ya Leon Island Records, baada ya Weasel na Pallaso kujiengua, anaelezwa kufariki dunia katika mji wa Kabalagala, Kampala nchini Uganda,
Kifo chake kilithibitishwa na madaktari baada ya kufikishwa katika hospitali ya Nsambya...
10 years ago
MichuziMAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA (OAFLA) NCHINI AFRIKA KUSINI
11 years ago
BBCSwahili08 Feb
Mchimba migodi auwawa Afrika Kusini
5 years ago
MichuziALI KIBA APATA PIGO, WASANII WAKE WAWILI WAMKIMBIA
Charles James, Michuzi TV
PIGO! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wasanii wawili, Killy na Cheesy kutoka Lebo ya Kings Music inayomilikiwa na Supastaa, Ali Kiba kutangaza kujitoa kwenye lebo hiyo.
Taarifa za kujitoa kwa wakali hao zimeanza kusambaa leo baada ya wasanii hao wenyewe kuandika kwenye mitandao yao ya Instagram lakini hawajaweka sababu za kujitoa kwao.
" Naitwa Ally Killy maarufu kama Lilly nikijulikana kama msanii wa Kings Music Records, napenda kuwajulisha fans wangu wote waliokua...
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Simba yapata pigo Afrika Kusini kabla ya kuivaa Yanga
9 years ago
Michuzi29 Nov
MO APATA TUZO NYINGINE AFRIKA YA KUSINI
Mwanzilishi na mchapishaji wa jarida la Forbes Afrika, Bw. Rakesh Wahi ( wa pili kushoto) akikamkabidhi Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji (wa pili kulia) tuzo ya Heshima Barani Afrika "2015 Forbes Africa Person of the Year" iliyotolewa na Jarida la Forbes Afrika kwa kutambua mchango wake katika kusaidia jamii ikiwemo kutoa ajira kwa zaidi ya watu 26,000 nchini na mambo mengine yanayoigusa jamii. Wanaoshuhudia tukio hilo...
9 years ago
Bongo511 Dec
Mwanariadha wa kike wa Afrika Kusini, Caster Semenya apata jiko!
Mwanariadha controversial wa nchini Afrika Kusini, Caster Semenya amedaiwa kufunga ndoa.
Taarifa zimedai kuwa Semenya alifunga ndoa ya kimila wikiendi iliyopita.
Caster na mpenzi wake wa muda mrefu Violet Raseboya walisherehekea harusi yao huko Ga-Dikgale kwenye wilaya ya Capricorn ya Limpopo.
Hata hivyo ndugu zake wa karibu wamekanusha taarifa hizo huku wengine wakidai huenda ilikuwa ni sherehe ya kuchumbiana tu.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter...
9 years ago
Bongo526 Oct
Rapper Cassper Nyovest wa Afrika Kusini apata deal la kihistoria
10 years ago
Vijimambo15 Jun
MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA HUKO AFRIKA KUSINI