Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchimba migodi auwawa Afrika Kusini

Afisa wa chama cha wachimba migodi auwawa katika mgomo wa Afrika Kusini lakini aliyemuuwa bado hajulikani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JULIO APATA PIGO, MDOGO WAKE AUWAWA NCHINI AFRIKA KUSINI

Kiungo wa zamani wa Malindi ya Zanzibar, Shaku Kihwelo amefariki dunia baada ya kumwagiwa maji na mtu mmoja aliyetambulika kuwa ni raia wa Zimbabwe.Kiungo huyo ambaye ni mdogo wa Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo amefariki dunia nchini Afrika Kusini na tayari tayaribu za kuleta mwili wake nchini kwa ajili ya mazishi zimeanza.Kaka yake mwingine, Mwanamtwa Kihwelo amethibitisha kuhusiana na kifo cha mdogo wake huyo aliyewahi pia kuichezea Twiga FC.
"Kweli alimwagiwa maji na huyo Mzimbabwe...

 

11 years ago

BBCSwahili

Jenerali wa Sudan Kusini auwawa Bor.

Mapigano makali yamezuka nje ya mji mkuu wa Sudan Kusini wa Bor na Jenerali mmoja wa jeshi la Sudan Kusini ameuwawa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi watawanya wachimba migodi A.Kusini

Polisi nchini Afrika Kusini wametumia maguruneti na risasi za mipira kuwatawanya wachimba migodi waliokuwa wanadai haki yao

 

11 years ago

BBCSwahili

Wachimba migodi wakwama mgodini A.Kusini

Waokozi nchini Afrika Kusini wanafanya kila juhudi kuwaokoa wachimba migodi wengi wanaohofiwa kukwama ndani ya mgodi wa dhahabu.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA UMOJA WA AFRIKA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa Mkutano wa 25 wa kawaidavwa Umojanwa Afrika. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini...

 

10 years ago

Michuzi

AFRIKA KUSINI WATWAA UBINGWA WA SAFARI POOL AFRIKA 2014

Rais wa Chama cha Pool Africa(AAPA), Saths Reddy(kulia) akimkabidhi Meneja wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya mchezo wa Pool, kitita cha Dolla 5000 sawa na pesa taslimu za kitanzania 8,500,000/= mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya mchezo huo yaliojulikana kama “Safari All Africa Pool Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.Rais wa Chama cha Pool Africa(AAPA), Saths Reddy(kulia) akimkabidhi Kocha wa timu...

 

10 years ago

Bongo5

Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake

Muongozaji wa video, Godfather kutoka Afrika Kusini ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo Diamond, Ommy Dimpoz, Alikiba, Linah na wengine, anatarajia kufanya ziara ya Afrika mashariki akiwa na crew yake. Katika ziara hiyo ya siku saba itakayoanza mwisho wa mwezi huu wa nne, Godfather amesema atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa […]

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA HUKO AFRIKA KUSINI

1Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mke wa Mfalme Mswatti wa Swaziland, muda mfupi kabla ya kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa Mkutano wa 25 wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika (AU) unaofanyika Sandton International Conference Center huko Johanessburg Afrika Kusini tarehe 14.6.2015. Aliyesimama kulia ni Mke wa Rais wa Afrika Kusini Mama Tobeka Madiba Zuma.2Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Antoinette Sessou Nguesso Mke wa Rais Dennis Sessou Nguesso wa Congo...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA (OAFLA) NCHINI AFRIKA KUSINI

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Sandton Internationa Center unakofanyika mkutano wa wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza muda wake Mama Hinda Derby Itno.  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani