Wachimba migodi wakwama mgodini A.Kusini
Waokozi nchini Afrika Kusini wanafanya kila juhudi kuwaokoa wachimba migodi wengi wanaohofiwa kukwama ndani ya mgodi wa dhahabu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
Polisi watawanya wachimba migodi A.Kusini
Polisi nchini Afrika Kusini wametumia maguruneti na risasi za mipira kuwatawanya wachimba migodi waliokuwa wanadai haki yao
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
17 wakwama mgodini Afrika Kusini
Vikosi vya uokozi vimeingia katika mgodi wa dhahabu nchini Afrika Kusini kujaribu kuwaokoa wafanyakazi 17 waliokwama ndani ya mgodi huo
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Wachimba migodi wa Guinea
Mpiga picha Tommy Trenchard, anaonyesha wachimba migodi katika machimbo ya dhahabu katika mpaka wa Guinea na Mali.
11 years ago
BBCSwahili20 Feb
Wachimba migodi haramu wasakwa A.K
Polisi wa Afrika Kusini wamesema watawasaka Wachimba madini wanaoendesha kazi zao kinyume na sheria, wakati miili zaidi ikigundulikana katika mgodi wa dhahabu uliokuwa hautumiki nje ya Johannesburg.
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
Wachimba migodi wakumbuka Marikana
Wachimba migodi wa Marikana Afrika Kusini wakumbuka wenzao waliouwawa
10 years ago
BBCSwahili23 Aug
Wachimba migodi wafariki CAR
Watu kadha wafa ndani ya mgodi wa dhababu Afrika ya Kati katika eneo la ghasia
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
Wachimba migodi SA wadai haki
Polisi nchini Afrika kusini wametumia risasi za mpira kutawanya takriban wafanyikazi elfu tatu wa migodi wanaogoma karibu na mji wa Rustenburg.
9 years ago
BBCSwahili30 Dec
Wachimba migodi wapatikana hai China
Wachimba migodi wanane waliokwama ardhini kwa siku tano huko China wamepatikana wakiwa hai.
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Miili 8 yapatikana mgodini A. Kusini
Waokozi nchini Afrika Kusini wanasema kuwa wamepata miili 8 ndani ya mgodi walimokuwa wamekwama wachimba migodi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania