Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Apinga ushindi wa Malocha jimbo la Kwela

ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Daniel Nafthal Ngogo, jana alfajiri alitoka nje ya ukumbi akibubujikwa na machozi huku akipinga matokeo yalioonyesha kwamba ameshindwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Apinga ushindi wa mdogo wake

MGOMBEA udiwani kata mpya ya Kanda wilaya ya Sumbawanga Vijijini mkoa wa Rukwa, Ozem Chapita (Chadema) amepinga matokeo yaliyompatia ushindi mdogo wake Yowtai Meshack (CCM) kwa tofauti ya kura moja. Katika matokeo ya uchaguzi huo yalimtangaza Meshack (CCM) kuwa mshindi wa udiwani kata ya Kanda.

 

9 years ago

Habarileo

Mwakalebela apinga ushindi wa Msigwa kortini

ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Frederick Mwakalebela, amekwenda mahakamani kupinga matokeo ya ubunge yaliyompa ushindi mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Msigwa.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA:CCM YAZIDI KUJIHAKIKISHIA USHINDI

 Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa (32), akiwapungia wananchi huku akiwa amebebwa alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mangalali,  Kata ya Ulanda, Iringa Vijijini leo mchana.  Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba akiongoza msafara wa mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa aliyebebwa walipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mangalali.  Mgimwa akiungana na wanakijiji kucheza ngoma ya asili ya kabila la Wahehe...

 

9 years ago

Mwananchi

Malocha: Uchaguzi ulikuwa mgumu

Mbunge mteule wa Jimbo la Kwela (CCM), Ignas Malocha amesema haikuwa kazi rahisi kupata ushindi kutokana na ushindani mkubwa alioupata kutoka kwa mgombea wa Chadema, Daniel Ngogo.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA,CCM YAJIDHATITI KWA USHINDI WA KISHINDO

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Wilayani Mufindi,Ndugu Miraji Mtaturu akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama hicho,Ndugu Godfrey Mgimwa mapema leo jioni mbele ya wanakijji cha Mfukulembe,(hawapo pichani),kata ya Ifunda,Iringa vijijini mkoani humo. Mgombea Ubunge Jimbo la Kaleta (CCM),Ndugu Godfrey Mgimwa akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Mabikimitali,kata ya Ifunda katika jimbo hilo,mkoani Iringa leo jioni.Godfrey amewaomba wananchi hao kumuamini na kumpa...

 

9 years ago

StarTV

Chama cha Mapinduzi chapata ushindi Uchaguzi Mdogo Jimbo La Ulanga

Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro amepatikana  mara baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika jimboni humo kukamilika na msimamizi wa jimbo hilo kumtangaza  Goodluck Mlinga kuwa ndiye mshindi.

Katika uchaguzi huo uliofanyika Novemba 22 na kushirikisha vyama vitatu vya CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo, Goodluck Mlinga ameshinda kwa kupata kura 25902 sawa na asilimia 69.78, mgombea wa CHADEMA akipata kura 10592 sawa na asilimia 28.53 na mgombea kupitia ACT wazalendo akipata...

 

11 years ago

Michuzi

News alert: CCM yachukua tena Jimbo la Kiembesamaki Yaibuka na Ushindi wa Asilimia 75.1

Mgombea wa Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameibuka Kidedea kwa ushindi alioupata katika uchaguzi huo mdogo wa Jimbo hilo baada ya kukaa wazi kwa muda mrefu kutokana na kutenguliwa kwa aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo hilo Mhe. Mansoor Yussuf Himid.   Akitangaza matokea hayo ya Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki yalioshirikisha Vyama Sita vya Siasa vilivyosimamisha wagombea wake. Msimamizi wa Uchaguzi Ndg. Suluhu akitoa...

 

9 years ago

Habarileo

Uchaguzi Kwela waahirishwa

UCHAGUZI wa ubunge katika Jimbo la Kwela wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa umeahirishwa kutokana na wananchi wa kata ya Milepa jimboni humo kushindwa kupiga kura baada ya vifaa vyote vya kupigia kura kuteketezwa kwa moto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani