KIGOGO MAGEREZA ATESWA, AUAWA
![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGG3SfFAy80G58vxnmtc3y7*tde0SlKYQfRYTIHgbNUUSNxbRD*VWTGx37v1*V93z72IAbwSJ0ixK93TXHUTkxQ9/kigogoafa.jpg?width=650)
Stori:Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa KIGOGO wa cheo cha juu katika Jeshi la Magereza Tanzania, SP Barnabas Nkuba (56) ameuawa kikatili kisha mwili wake kuburuzwa na kutupwa kwenye choo cha nje cha nyumba yake, Uwazi limeichimba. Jeneza lenye mwili wa marehemu, SP Barnabas Nkuba (56) likiwa limebebwa na maofisa wa Jeshi la Magereza Tanzania. Tukio hilo lililoacha maswali mengi lakini majibu kiduchu huku jeshi la...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Jan
Kigogo Chadema atekwa, ateswa
MGOGORO unaoendelea ndani ya Chadema una uhusiano na tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa Wilaya ya Temeke, Joseph Yona, Polisi imesema.
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Kigogo CCM auawa
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KIGOGO CCM AUAWA JIJINI MWANZA
9 years ago
Mwananchi15 Nov
Kigogo Chadema auawa kinyama Geita
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
Mwalimu wa kike shule ya Kigogo Dar auawa na mdogo wake
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU wawili mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti, likiwemo la Mwalimu wa shule ya msingi Kigogo jijini Dar-es-salaam, Hawa Idd (34) baada ya kuchomwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na mdogo wake Ramadhan Iddi (24) anayedaiwa kuwa na matatizo ya akili.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela alisema tukio hilo limetokea Septemba 23 mwaka huu saa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LGdhCycw6D8lGAXv8sHdPpMIP-g1WZ2HRAcpJF4YPWHJBIRilUnvWSkDsS5HQUs-ftk4ieM2xG9OrR*BxqL*zTqYBBtGimGR/FRONTUWAZI.gif?width=650)
ASKARI MAGEREZA ALIYEPANGA MAUAJI STAKISHARI AUAWA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_fb0ohBDGvU/Xq_39J1iJVI/AAAAAAALpBo/lbkuGvYHPrIVQfhIzt-m35H_kaxA7A--ACLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1AA-768x529.jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, SULEIMAN MZEE AWAFUNDA WAKUU WA MAGEREZA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA AGENDA YA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA MAGEREZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-_fb0ohBDGvU/Xq_39J1iJVI/AAAAAAALpBo/lbkuGvYHPrIVQfhIzt-m35H_kaxA7A--ACLcBGAsYHQ/s640/PIX-1AA-768x529.jpg)
Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akitoa maelekezo maalum leo Mei 04, 2020 katika kikao kazi cha Maafisa wa Jeshi la Magereza walioteuliwa hivi karibuni kushika nyadhifa mbalimbali katika Jeshi hilo wakiwemo wakuu wa magereza, Boharia Mkuu wa Jeshi ambapo Jenerali Mzee amewataka kuhakikisha kuwa wanasimamia ipasavyo Agenda ya mabadiliko ndani ya Jeshi la Magereza.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/PIX-2AA-1024x506.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-JQa3--bG2Ps/VQ1sP1PYsxI/AAAAAAADdAo/nGnHm_tw6Vk/s72-c/image.jpeg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AVISHA YEO MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR ES SALAA
![](http://3.bp.blogspot.com/-JQa3--bG2Ps/VQ1sP1PYsxI/AAAAAAADdAo/nGnHm_tw6Vk/s1600/image.jpeg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-bTICbcczo5Y/VQ1sP47alSI/AAAAAAADdAk/IjUIFSCy7Uk/s1600/image_1.jpeg)
10 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AZINDUA HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" MAGEREZA UYUI TABORA