Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dereva teksi afumaniwa, auawa kwa kuchomwa kisu kifuani

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Mary NzukiDEREVA teksi Hamis Seleman (18), mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amekufa baada ya kuchomwa kisu kifuani na Ali Kimodo, aliyemfumania akiwa na mpenzi wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe

>Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa, akiwamo mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Isangati Mbeya Vijijini aliyechomwa kisu na mume wake wakati akiwa amelala.

 

10 years ago

Habarileo

Dereva wa bodaboda auawa kwa kisu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahri Kidavashari MWENDESHA pikipiki maarufu bodaboda, Zacharia Lungwa (24) mkazi wa Kitongoji cha Kawajense mjini Mpanda katika mkoa wa Katavi ameuawa kwa kuchomwa na kisu na abiria wake aliyekuwa amembeba.

 

10 years ago

GPL

MWANA HIP HOP FLABBA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU NA MPENZI WAKE AFRIKA KUSINI

Nkululeko Habedi maarufu kwa jina la Flabba enzi za uhai wake. Flabba (wa kwanza kushoto waliochuchumaa ) akiwa na wanamuziki wenzake wa Skwatta Kamp. MWANA Hip hop wa Afrika Kusini, Nkululeko Habedi maarufu kwa jina la Flabba (38) ameuawa kwa kuchomwa kisu na mtu anayedaiwa kuwa mpenzi wake akiwa nyumbani kwake Alexandra jijini…

 

9 years ago

Habarileo

Mwalimu afa kwa kuchomwa kisu, kisa wivu wa mapenzi

WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti mkoani Kilimanjaro, likiwamo la mwalimu wa shule ya sekondari Minja wilayani Mwanga, Tumaini Magila (27) kumuua mumewe Sweetbert Magila (48) kwa kumchoma kisu, kutokana na wivu wa kimapenzi.

 

11 years ago

CloudsFM

MPIGA DEBE IRINGA AUWAWA KWA KUCHOMWA KISU STAND NJE YA KITUO CHA POLISI

DENI la Sh 2,000 limetosha kumaliza uhai wa mpiga debe maarufu wa stendi ya mabasi yaendeayo mikoani ya mjini Iringa, Samwel Yengayenga baada ya kuchomwa kisu mara mbili katika eneo la mgongoni na kifuani.Tukio hilo la kinyama limetokea leo majira ya saa 6.55 mchana baada ya Yengayenga na mtuhumiwa wa mauaji yake aliyekuwa akidai kiasi hicho cha fedha kurushiana maneno makali na kisha kupigana.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva teksi apotea

DEREVA teksi wa Maili Moja na mkazi wa Mwendapole mjini hapa, Richard Ponera (36) amepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukodiwa na watu wasiofahamika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa kuchomwa moto

KADUCHU Tototo (40) mkazi wa Kijiji cha Rugasha, Kata ya Kibingo wilayani Kyerwa, ameuawa na kuchomwa moto na mafuta ya petroli baada ya kutuhumiwa kuvunja duka la Gerald Daud na...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Dereva teksi na akili za kuchungulia

HABARI za siku tele abiria wa teksi yangu hii, ambayo hata hivyo, kwa muda mrefu imekuwa katika mkwamo kuanzia wa kutokukamilika kwa matengenezo kule gereji hadi kufanya malipo kwa ajili ya leseni hizi kadhaa ambazo ni lazima niwe nazo kama dereva teksi.

Lakini salamu pia kwenu ninyi ambao si abiria wa teksi yangu, kuanzia ninyi wenye usafiri binafsi na wale wenzangu na mimi, wenye kutegemea zaidi usafiri wa umma kama daladala, na hata wale wengine watumiaji wa bajaji au...

 

9 years ago

BBCSwahili

Dereva wa teksi ya Uber afungwa maisha

Dereva wa teksi wa kampuni inayotoa huduma ya pamoja ya teksi- Uber, amehukumiwa maisha jela nchini India kwa kumbaka abiria wake

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani