Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dereva teksi apotea

DEREVA teksi wa Maili Moja na mkazi wa Mwendapole mjini hapa, Richard Ponera (36) amepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukodiwa na watu wasiofahamika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Dereva teksi na akili za kuchungulia

HABARI za siku tele abiria wa teksi yangu hii, ambayo hata hivyo, kwa muda mrefu imekuwa katika mkwamo kuanzia wa kutokukamilika kwa matengenezo kule gereji hadi kufanya malipo kwa ajili ya leseni hizi kadhaa ambazo ni lazima niwe nazo kama dereva teksi.

Lakini salamu pia kwenu ninyi ambao si abiria wa teksi yangu, kuanzia ninyi wenye usafiri binafsi na wale wenzangu na mimi, wenye kutegemea zaidi usafiri wa umma kama daladala, na hata wale wengine watumiaji wa bajaji au...

 

9 years ago

BBCSwahili

Dereva wa teksi ya Uber afungwa maisha

Dereva wa teksi wa kampuni inayotoa huduma ya pamoja ya teksi- Uber, amehukumiwa maisha jela nchini India kwa kumbaka abiria wake

 

11 years ago

Mwananchi

Kutoka dereva teksi hadi mwigizaji nyota wa Siri ya Mtungi

Si jambo rahisi kuamini kwamba Daudi Michael Tairo, anayefahamika zaidi kwa jina la Duma ndani ya tamthilia ya Siri ya Mtungi, aliwahi kuwa dereva teksi kwa miaka minne mfululizo.

 

10 years ago

Habarileo

Dereva teksi afumaniwa, auawa kwa kuchomwa kisu kifuani

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Mary NzukiDEREVA teksi Hamis Seleman (18), mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amekufa baada ya kuchomwa kisu kifuani na Ali Kimodo, aliyemfumania akiwa na mpenzi wake.

 

5 years ago

Michuzi

MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI

AJALI YA GARI KUGONGA BAJAJI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Sheria kali za teksi zapendekezwa Nairobi

Madereva wa teksi Nairobi huenda wakakabiliwa na faini kubwa iwapo watakapitana na hatia ya kuwa wachafu au kucheza muziki wa juu karibuni, sheria mpya ikipitishwa.

 

10 years ago

GPL

DENTI AFAULU, APOTEA!

Stori: Mwandishi  wetu
MWANAFUNZI Asia Hamed Muagi (15) ambaye alifanya mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka huu katika shule ya msingi Gerezani  jijini  Dar es Salaam amepotea katika mazingira ya kutatanisha tokea Oktoba 28. Mwanafunzi Asia Hamed Muagi aliyepotea katika mazingira tatanishi . Akizungumza na gazeti  hili, mjomba wa mwanafunzi huyo ambaye matokeo ya darasa la saba yanaonyesha amefaulu kwa masomo...

 

11 years ago

GPL

KIJANA APOTEA AIBUKA...

Stori: Timothy Itembe Tarime
KIJANA Kenedy Onyango Augustine (22),  mkazi wa Kitongoji cha Nyambogo Shuleni, Kata ya Kitembe wilayani Rorya mkoani Mara aliyepotea kimiujiza amerudi nyumbani akiwa hai baada ya kudaiwa kuwa alikuwa amechukuliwa msukule. Kijana Kenedy Onyango Augustine aliyedaiwa kupotea kimiujiza amerudi nyumbani akiwa hai baada ya kudaiwa kuwa alikuwa amechukuliwa msukule. Baba mzazi wa kijana huyo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto apotea mazingira ya utata

KELVIN Kaijage (pichani), mkazi wa Tabata Magengeni anatafutwa na wazazi wake baada ya kutoroka nyumbani kwao tangu Desemba 19, mwaka huu. Mama wa mtoto huyo, Anna Kaijage alisema mwanaye mwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani