KIJANA APOTEA AIBUKA...
![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75pMeJwdpRKqsdau-scaCgWFsdowSpVD0Ba4KFmq*ZO3N8MX77aY-ln*m7fxKPvblzVOQVxHwCqtV2pz4csa65RP/kijana.jpg)
Stori: Timothy Itembe Tarime KIJANA Kenedy Onyango Augustine (22), mkazi wa Kitongoji cha Nyambogo Shuleni, Kata ya Kitembe wilayani Rorya mkoani Mara aliyepotea kimiujiza amerudi nyumbani akiwa hai baada ya kudaiwa kuwa alikuwa amechukuliwa msukule. Kijana Kenedy Onyango Augustine aliyedaiwa kupotea kimiujiza amerudi nyumbani akiwa hai baada ya kudaiwa kuwa alikuwa amechukuliwa msukule. Baba mzazi wa kijana huyo,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO7t1aYjLjqKm-El1v1g7eWNEO5o3M5tamxKJmVYF41zzPTuHN64rplYfSVkb99gF0BHuhm1rGgO7crQhS7ua4v3/MTOTO.jpg)
MNGONI APOTEA, AIBUKA AKIWA MMASAI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uw8ZJ9XBTbV1fFwWwIpGpyswEMSrWFTiHj4y7jXabEcr7a3KND9LO2DvHn1pz8eM2WujxQY82wrmSKxgkUO2-sApvxwisgnV/denti.jpg)
DENTI AFAULU, APOTEA!
11 years ago
Habarileo11 Aug
Dereva teksi apotea
DEREVA teksi wa Maili Moja na mkazi wa Mwendapole mjini hapa, Richard Ponera (36) amepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukodiwa na watu wasiofahamika.
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Mtoto apotea mazingira ya utata
KELVIN Kaijage (pichani), mkazi wa Tabata Magengeni anatafutwa na wazazi wake baada ya kutoroka nyumbani kwao tangu Desemba 19, mwaka huu. Mama wa mtoto huyo, Anna Kaijage alisema mwanaye mwenye...
10 years ago
BBCSwahili25 Nov
Mzee wa miaka 84 apotea majini Sydney
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Mtoto apotea katika mazingira ya kutatanisha
MTOTO Baraka John (13) mwanafunzi wa shule ya msingi Hunyari katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amepotea katika mazingira ya kutatanisha, wakati akiwa nyumbani kwao. Mzazi wa mtoto huyo ambaye...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-WOvPWsGCThQ/VgQSlrmJAiI/AAAAAAAAt48/g6B9oIUi0kk/s72-c/20150924075835.jpg)
Msaada: Mtoto apotea na house-girl
![](http://2.bp.blogspot.com/-WOvPWsGCThQ/VgQSlrmJAiI/AAAAAAAAt48/g6B9oIUi0kk/s640/20150924075835.jpg)
Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.
Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...
11 years ago
Mwananchi23 May
Kaka wa mtoto aliyefungiwa kwenye boksi naye ‘apotea’
9 years ago
StarTV21 Aug
M/kiti BAWACHA Geita apotea kwenye mazingira ya utata
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Mkoa wa Geita Husna Said anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana Agosti 16 alipokuwa anatoka wilayani Nyangh’wale katika shughuli zake za kichama.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita Alphonce Mawazo, Husna alipotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kutoka Nyangwale na kupanda bodaboda kuelekea Kakola kutafuta usafiri wa kwenda Geita lakini baada ya kufika Kakola na kupanda basi haijulikani...