Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DENTI AFAULU, APOTEA!

Stori: Mwandishi  wetu
MWANAFUNZI Asia Hamed Muagi (15) ambaye alifanya mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka huu katika shule ya msingi Gerezani  jijini  Dar es Salaam amepotea katika mazingira ya kutatanisha tokea Oktoba 28. Mwanafunzi Asia Hamed Muagi aliyepotea katika mazingira tatanishi . Akizungumza na gazeti  hili, mjomba wa mwanafunzi huyo ambaye matokeo ya darasa la saba yanaonyesha amefaulu kwa masomo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSHINDI WA TMT 2014 MWANAAFA MWINZAGU AFAULU MITIHANI YAKE YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2014

Pichani (Katikati) ni Mwanaafa Mwinzagu ambae ni Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya wafanyakazi na Wadau wa Kampuni ya Proin Promotions ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kitita cha Milioni 50 za Kitanzania katika fainali ya shindano la TMT lililomalizika Mnamo tarehe 30 Aug 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva teksi apotea

DEREVA teksi wa Maili Moja na mkazi wa Mwendapole mjini hapa, Richard Ponera (36) amepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukodiwa na watu wasiofahamika.

 

11 years ago

GPL

KIJANA APOTEA AIBUKA...

Stori: Timothy Itembe Tarime
KIJANA Kenedy Onyango Augustine (22),  mkazi wa Kitongoji cha Nyambogo Shuleni, Kata ya Kitembe wilayani Rorya mkoani Mara aliyepotea kimiujiza amerudi nyumbani akiwa hai baada ya kudaiwa kuwa alikuwa amechukuliwa msukule. Kijana Kenedy Onyango Augustine aliyedaiwa kupotea kimiujiza amerudi nyumbani akiwa hai baada ya kudaiwa kuwa alikuwa amechukuliwa msukule. Baba mzazi wa kijana huyo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto apotea mazingira ya utata

KELVIN Kaijage (pichani), mkazi wa Tabata Magengeni anatafutwa na wazazi wake baada ya kutoroka nyumbani kwao tangu Desemba 19, mwaka huu. Mama wa mtoto huyo, Anna Kaijage alisema mwanaye mwenye...

 

11 years ago

GPL

MNGONI APOTEA, AIBUKA AKIWA MMASAI

Hamida Hassan na Gladness Mallya Maajabu ya karne! Mtoto aliyezaliwa na wazazi wa kabila la Kingoni (Mngoni), Samson Matei Joseph wa Nguruka Kata ya Nguruma wilayani Uvinza mkoani Kigoma alipotea miaka miwili iliyopita lakini katika hali ya kushangaza, hivi karibuni ameibuka akiwa ni Mmasai baada ya kusakwa bila mafanikio. Mtoto aliyezaliwa na wazazi wa kabila la Kingoni (Mngoni), Samson Matei Joseph wa Nguruka Kata ya Nguruma...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mzee wa miaka 84 apotea majini Sydney

Maafisa nchini Australia wamesitisha zoezi la kumtafuta mzee mmoja aliyeanguka baharini mashariki mwa mji wa Sydney.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto apotea katika mazingira ya kutatanisha

MTOTO Baraka John (13) mwanafunzi wa shule ya msingi Hunyari katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amepotea katika mazingira ya kutatanisha, wakati akiwa nyumbani kwao. Mzazi wa mtoto huyo ambaye...

 

10 years ago

Vijimambo

Msaada: Mtoto apotea na house-girl

Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. JulluFamilia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.
Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.
Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...

 

11 years ago

Mwananchi

Kaka wa mtoto aliyefungiwa kwenye boksi naye ‘apotea’

Zimeibuka taarifa kwamba mtoto aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka minne na mama yake mkubwa, Nasra Rashid (4) alikuwa na kaka aliyefahamika kwa jina la Nasoro ambaye hadi sasa hajulikani mahali halipo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani