Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwana FA adai Hip hop imepoteza maana yake

11249868_666551486778035_1351011407_n

Mwana FA amesema hawezi kuwaunga mkono wasanii wanaopoteza misingi ya muziki wa Hip Hop kwa sababu ya kutengeneza pesa na kuacha changamoto zinazowakabili watanzania

12237384_1626174140976666_877565606_n

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, FA alisema sio lazima kwa msanii kufanya kitu ambacho hana uhakika nacho, hata kama kinaingiza pesa nyingi.

“Iko so obvious muziki umebadilika sana, umetoka katika ile misingi iliyowekwa na sababu zake za kuwepo, umekuwa kuhusu starehe na hela peke...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Siipendi tena Hip Hop, imepoteza ladha – Kala Jeremiah

Kala

Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Mwanza, Kala Jeremiah amesema haupendi kabisa muziki wa Hip Hop wa sasa kutokana na wasanii kushindwa kuzungumzia masuala yanayoihusu jamii.

Kala

Rapa huyo ambaye ni zao la shindano la Bongo Star Search (BSS), msimu wa kwanza 2007, ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa muziki wa Hip Hop umepoteza mwelekeo.

“Kwanza kabisa siipendi Hip Hop ya sasa kwasababu imepoteza ladha na mwelekeo tofauti na ya zamani,” alisema.

“Zamani watu walikuwa wakiimba vitu bila kuficha...

 

11 years ago

GPL

MWANA HIP HOP DARASA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE USIKU HUU

Mwana Hip hop, Shariff Thabeet 'Darasa' pamoja na Presenta Pamela Daffa 'The Mic Queen' ndani ya Global TV Online. Darasa katika pozi. MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kwa miondoko ya Hip hop, Shariff Thabeet 'Darasa' leo yupo ndani ya studio za Globa TV Online akifanya mahojiano na Presenta mkali, Pamela Daffa 'The Mic Queen'. (PICHA NA CLARENCE MULISA /… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Banza Stone: Alianza muziki kwa kuwa mwana Hip Hop 1989

>Kati ya mambo ambayo huenda ulikuwa huyajui, ni kuhusu mwanamuziki wa dansi nchini Ramadhani Masanja, ‘Banza Stone’, mmoja kati ya wanamuziki wa dansi wa kizazi kipya wanaosisimua jukwaani kuwa aliwahi kuwa mwana Hip Hop.

 

10 years ago

GPL

MWANA HIP HOP FLABBA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU NA MPENZI WAKE AFRIKA KUSINI

Nkululeko Habedi maarufu kwa jina la Flabba enzi za uhai wake. Flabba (wa kwanza kushoto waliochuchumaa ) akiwa na wanamuziki wenzake wa Skwatta Kamp. MWANA Hip hop wa Afrika Kusini, Nkululeko Habedi maarufu kwa jina la Flabba (38) ameuawa kwa kuchomwa kisu na mtu anayedaiwa kuwa mpenzi wake akiwa nyumbani kwake Alexandra jijini…

 

9 years ago

Vijimambo

SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP

Kilimanjaro Studio sasa inakuletea kipindi cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki Mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao.Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Wiki ya Maji’ imepoteza maana?

Maadhimisho ya ‘Wiki ya Maji’, ambayo hufanyika Machi 16 hadi Machi 22 kila mwaka yalianza jana nchini kote. Mwaka huu maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Mara na Serikali imesema kauli mbiu ya mwaka huu ni ‘Maji kwa Maendeleo Endelevu’. 

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Mtanzania

Chemical: Hip hop si ya wanaume tu

CHEMICALNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa hip hop nchini, Claudia Lubao ‘Chemical’, amewataka wasanii wa kike wafanye vitu vinavyoonekana vigumu kufanywa na wanawake ili wadhihirishie umma sera ya haki sawa kwa wote.

Chemical alisema mabinti wengi wanahofu ya kufanya aina hiyo ya muziki kwa sababu inaeleweka kuwa muziki ni kwa ajili ya wanaume pekee kitu ambacho si sahihi.

“Kikubwa ni kuthubutu na kufanya kile tunachokipenda bila kujali kitapokelewa kwa mtazamo gani kama mimi nafurahi kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vichwa vinavyoibeba Hip Hop

MUZIKI wa Tanzania hususan wa kizazi kipya ‘Bongofleva’ unazidi kupasua anga kila kukicha kutokana na sababu kadha wa kadha, hivyo kukubalika kwa wengi. Awali wakati vijana wa miaka 90 walipoanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani