KAJALA,WEMA HEBU NISIKILIZENI KIDOGO!
Mastaa wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja. KWENU,Mastaa wa filamu Bongo, Kajala Masanja na Wema Sepetu. Poleni kwa tifu linaloendelea kati yenu. Hongereni kwa kazi za kila siku za kujipatia kipato. Tuweke mambo yote pembeni, mimi kama kaka yenu, hebu tuzungumze kirafiki kidogo leo. Nimefuatilia kwa karibu ugomvi unaoendelea kati yenu, moyoni imeniuma na nimeona naweza kuwashauri mawili matatu, nanyi mkiona...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Bongo Movies05 Apr
Wewe ni Shabiki wa Wema Sepetu? Hebu Pitia Hapa
Staa mrembo kutoka Bongo Movies. Wema Sepetu ambaye anatajwa kama ni moja ya watu wenye ushawishi mkubwa mtandaoni kwa hapa Bongo, ni moja kati ya watu wanaowania tuzo kwenye TUZO ZA WATU 2015 katika kipengele cha Muigizaji wa kike anaependwa na watu.
Hii ni nafasi kwa wewe unaemkubali na kumfagilia Wema kuonyesha kuwa mpo wengi kwa kumpigia kura za kutosha kumuwezesha kuibuka mshindi wa tuzo hiyo.
Jinsi ya kumpigia kumpigia kula, Tuma neno TUZO kwenda15678 utapokea uujumbe unaoainisha...
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
11 years ago
GPLZA CHEMBE LAZIMA UKAE: MAMA WEMA HEBU KUWA MZAZI BASI!
10 years ago
Bongo Movies11 Feb
PICHA: Mh!! Wema Ana Mimba?!!! Hebu Jionee Picha Hizi Zinazosambaa Mtandaoni!!!
Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasamabaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti huku wote sura zao zikiwa hazionekani.
Moja kati ya akaunti kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema, inayokwenda kwa jina la WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na kuandika mameno “NITOBOEEE” kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.
Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema ameambiwa...
10 years ago
Vijimambo25 Dec
HII STORI NI YA MUDA KIDOGO LAKINI NIMEONELEA NIIWEKE HAPA NA WEWE UIPITIE KIDOGO
MBIO za Uhuru Marathon msimu wa pili zilizofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club, kwa kiasi fulani zilitiwa dosari kutokana na baadhi ya wanariadha kushutumiana kwa mambo ya kishirikina.
Tukio hilo la...
10 years ago
GPLWEMA, KAJALA TENA!