OYA…UKITAKA KUJUA KAMA UNA MBIO, OMBA UFUMANIWE!
![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL12gBntk7IidwiKUPkrHYL*2a8sNj5KZhC6F88T7Qp*ygbl-Kv1bt4vAtjmCfjLz1i*YrSG2N5uXlnaXl3Bxg3-/1pekepeke.jpg?width=650)
NIAJE… niaje kipande hiyooo…Kama kawiz kama dawa kaka mkubwa nipo kamili gado kwa jamvini kukisanua? Ama nini? Fanya kujisogeza hapa upate mastori moo. Ni tamu sana hizi stori aisee jamaa yangu. Basi mia! Ebana eee…kabla ya mastori vipi michongo kitaa hiyo? Siyo sekreti masela tuongeze bidii ya kuzisaka mingo kwa prosesi halali. Hivi hapo mjengoni Dom mnawasoma mamemba wa katiba au mizinguo? Kama maatisti...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NQs0dYxvfMV*4RbPewXfxMZ7pAnGdsAKNls7*VF2co2WcJgHrX6wL84zfnyYSwXvItqrpc4STKESbQzU1KHjmeJ87dVkoWZ3/mpekkerrcopy.gif)
OYA JOMBAA… KAMA VIPI KULA ZA USO!
10 years ago
Mwananchi26 Apr
ukitaka kujua tunda bivu au limeoza unafanyaje ?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGjSh*RvIdv4*CTC7kB4bNk-oUpu-jGM22taF0uYMlaz5Mtj4Q9n9-KvzwZkBw6E*BKoEYobSZNQ9*K6Ldw2zZlz/mpeeeeeeeeee90.jpg)
OYA MASELA TULIENI…KURUKARUKA ZIACHIE POPKONI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DIpsX3jcHzMxe2QHUsCi-RVrEaIj1JhbtOz7YOx5GJjx7dkgiopLsvfuOpGR8atGzrNJ6A1w7lWAX0JYZXCMUq0lBSVj4yXo/mpekecopy.jpg)
OYA UNGEKUWA NA UPUNGUFU WA DAMU NINGEKUONGEZEA LAKINI AKILI…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4iCTF1Rc2VbnRaPWw6OqHJRDrtFEuIAfM3JWpYZ1IPyw790keWE5rjzG7C9xD0vH0LlnCzLsBSxxC2ptCQc9TF6/mpekescopy.gif)
OYA…TULIZA MIZUKA IBILISI MTOA ROHO YUPO JOBU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWSyIVorbtwioIdhTfaeo9HsaqenqCZ08UTSz81L9X3VTQyBJcnMjbaJ9qBv7OnsaFkP8zGhaKUTKKKLndTJ07dz/mpeke6.jpg)
OYA UKIONA UNAPENDWA NA MASHORI, UJUE UNA NYOTA YA NGOMA!
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1CQgEjd27rA/VJF_C6jorUI/AAAAAAAG33Q/gy-he9VknLk/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
TATIZO LA WAMACHINGA NA OMBA OMBA MAENEO YASIYORUHUSIWA DAR KUTAFUTIWA DAWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-1CQgEjd27rA/VJF_C6jorUI/AAAAAAAG33Q/gy-he9VknLk/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
Na Aron Msigwa –MAELEZO.
Jiji la Dar es salaam linaangalia upya utaratibu wa kuwaondoa ombaomba na wafanyabiashara ndogondogo(wamachinga) katika maeneo yasiyoruhusiwa katika jiji la Dar es salaam kufuatia sheria na hatua zinazochukuliwa ikiwemo kuwarudisha ombaomba hao katika...
10 years ago
CloudsFM18 Dec
TATIZO LA OMBA OMBA NA WAMACHINGA MAENEO YASIYORUHUSIWA DAR KUTAFUTIWA DAWA
Aron Msigwa –MAELEZO.
Jiji la Dar es salaam linaangalia upya utaratibu wa kuwaondoa ombaomba na wafanyabiashara ndogondogo(wamachinga) katika maeneo yasiyoruhusiwa katika jiji la Dar es salaam kufuatia sheria na hatua zinazochukuliwa ikiwemo kuwarudisha ombaomba hao katika mikoa wanayotoka kutokuzaa matunda na kuwa endelevu kufuatia wengi wao kurudi katika maeneo ya awali kila wanapoondolewa.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Mecki Sadiki wakati akifungua kikao cha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-7CJwpLTMbrBx8UukS-NldM5vH723W8jWqyT87UIqsi8uWrvUisfeLpub8T6nNl3Q1StXn0SrJ7o0H-ogZkMced/bonanza.jpg?width=650)
BONANZA LA JOGGING & BREAKING NEWS… MBIO ZA HISTORIA KUFANYIKA DAR!