Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OYA UKIONA UNAPENDWA NA MASHORI, UJUE UNA NYOTA YA NGOMA!

Inakuwa nini machizi wangu pale kati? Niaje…niaje washkaji zangu? Kitaa hiyo ni mpango? Kipande hii tunasebenza mwanzo mwisho aisee makachaa wangu. Timu ya taifa hasaa…ama nini? Basi barida barafu. Kama vipi karibu sana kwenye stori zetu. Hizi ni tamu kinoma chaliiangu! Kanyaga twende.Mia!
Mazee kitu cha weldi kapu pale kati Brazuka kwa akina Dilima na Neymar dizaini kama kilituweka bize ile mbaya arifu. Hata hivyo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MPENZI WAKO AKIKULALAMIKIA UNA WIVU WA KIJINGA KWAKE... UJUE ANAKUSALITI-2

NAAM! Ni Jumanne tena. Naamini wasomaji wangu mnaendelea kuhesabu siku kuifikia Oktoba 25, mwaka huu ambapo itakuwa siku ya kupiga kura kumchagua rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini pia kuna kuwachagua madiwani na wabunge. Kwa upande wangu nashukuru sana kwamba pamoja na harakati za uchaguzi mkuu, bado napata meseji nyingi sana kutoka kwenu. Hii inaashiria kwamba, mnanisoma vizuri. Wiki iliyopita mada...

 

11 years ago

GPL

OYA…UKITAKA KUJUA KAMA UNA MBIO, OMBA UFUMANIWE!

NIAJE… niaje kipande hiyooo…Kama kawiz kama dawa kaka mkubwa nipo kamili gado kwa jamvini kukisanua? Ama nini? Fanya kujisogeza hapa upate mastori moo. Ni tamu sana hizi stori aisee jamaa yangu. Basi mia!
Ebana eee…kabla ya mastori vipi michongo kitaa hiyo? Siyo sekreti masela tuongeze bidii ya kuzisaka mingo kwa prosesi halali. Hivi hapo mjengoni Dom mnawasoma mamemba wa katiba au mizinguo?
Kama maatisti...

 

10 years ago

GPL

OYA UJINGA NI KUAMINI BORA KUPATA NGOMA KULIKO PREGI!

Oya masela inakuwaje kitaa hiyo? Ni mpango mzima? Chuma nipo kamili gado kwa fasi ya kona mbaya nakula mingo kama kawiz kama dawa. Mazee dizaini kama deizi zinakrosi fasta kinomanoma, huwezi kuamini juzikati tu tumeachana hapa kwa ajili ya misele mingine na tayari tunamingo tena aisee chaliiangu. Naona imekuwa fasta kinoma bati hapa si ndo skani kwetu wazazi? Basi stei humu upate kitu roho inataka mwanangu. Kuna listori moko la...

 

10 years ago

Bongo5

Msechu: Ukubwa wa Nyota unanipa wakati mgumu kuja na ngoma ya kuizidi

Peter Msechu amesema kwa jinsi wimbo wake Nyota ulivyofanya vizuri, anashindwa kupata wimbo mwingune utakaoweza kufanya vizuri zaidi yake. Msechu ameiambia Bongo5 jana kuwa licha ya kuwa tayari ana nyimbo nyingi amerekodi, anaona hazina nguvu kama Nyota iliyotangulia. “Sasa nipo kwenye maandalizi ya video mpya pia nina kazi nyingi ambazo zipo tayari lakini napata wakati […]

 

11 years ago

CloudsFM

'SUPA NYOTA' NEY LEE AREKODI VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA YA ’NIPE MUDA’ NCHINI ZAMBIA

Msanii zao la Supa Nyota 2012 Ney Lee anaelekea kukamilisha video ya wimbo wake mpya ‘Nipe Muda’ inayofanyika nchini Zambia na kampuni ya Video ya F2K Production.

 

10 years ago

GPL

USIJISAHAU, UNA HAKI YA KUMPENDA, UNA HAKI YA KUMTOSA!

Hakuna ubishi mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammis, ukiwa naye unajiona ni mwenye bahati kwa faraja anayokupa, ni lazima utahisi umepungukiwa kitu muhimu. Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisi. Kitu ambacho anaweza kuingiza usanii...

 

10 years ago

Vijimambo

USIJISAHAU, UNA HAKI YA KUMPENDA, UNA HAKI YA KUMTOSA!

Hakuna ubishi mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammis, ukiwa naye unajiona ni mwenye bahati kwa faraja anayokupa, ni lazima utahisi umepungukiwa kitu muhimu.

Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisi. Kitu ambacho anaweza kuingiza usanii na mambo yakaenda. Hapa namaanisha hivi, mtaani kuna watu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Vitenge vya nyota nyota vyatikisa

Licha ya kuwepo kwa matoleo ya aina mbalimbali za vitenge kwa mwaka huu vipo ambavyo vimeonekana kukubalika na kuvaliwa zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani