Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vitenge vya nyota nyota vyatikisa

Licha ya kuwepo kwa matoleo ya aina mbalimbali za vitenge kwa mwaka huu vipo ambavyo vimeonekana kukubalika na kuvaliwa zaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

VITENGE VYA WAX DMV

Kila aina ya vitenge vya Wax 100% cotton (hollande) vinapatina DMV bei ni $45-85 six yards piga no 2407066333 kwa maelezo zaidi.Karibuni

 

10 years ago

GPL

VIFO VYA WATOTO WENGINE WAWILI VYATIKISA DAR!

Stori: Haruni Sanchawa
NImajonzi tena! Simanzi kubwa ilitawala kwa wakazi wa Jiji la Dar hususan Ukonga Mazizini kufuatia familia ya Emanuel Chadaha kufiwa na watoto wao wawili, Boniface  (6) na Kelvin (4) katika tukio moja la kuzama kisimani. Majeneza yaliyobeba miili ya watoto hao yakiandaliwa kwa ajili ya mazishi. Vifo hivyo ambavyo vimeacha historia ya kusikitisha, vilitokea Mei 23, mwaka huu tena kwa  mateso makubwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota 11 watakaokosekana Afcon

AFCON 2015 kama yanavyojulikana yameanza Januari 17 na yakitarajiwa kumalizika Februari 8. Licha ya kuwa mataifa 16 yatakuwa yakiwania taji hilo la Afrika, hakutakuwa na mabingwa watetezi, Nigeria, ambao wameshindwa kufuzu.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Baadhi ya nyota hujiumiza’

Nyota wa zamani wa klabu ya Yanga, Emmanuel Swita ametoboa siri nzito kuwa inapofika mechi ya watani wa jadi baadhi ya wachezaji hujiumiza makusudi au kujifanya wanaumwa ili wasipangwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanariadha nyota kuchuana

>Wanariadha maarufu Tanzania, Mary Naali, Jacqueline Sakilu, Sarah Ramadhani, Andrew Sambu na Dickson Marwa ni miongoni mwa wakimbiaji watakaochuana kusaka ubingwa wa mbio za Kilimanjaro Marathon.

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota wa Bongofleva waliopotea

Tangu kuibuka kwa muziki wa kizazi kipya ambao wengi wanautambua kwa jina la |BongoFleva, yapo majina ya wanadada ambayo yalitajwa kuwa mihimili ya muziki huo ambayo kwa sasa yanasuasua kwenye medani ya muziki huo.

 

9 years ago

Habarileo

Maguri awatisha nyota wa kigeni

MSHAMBULIAJI Elias Maguri amezidi kuwawashia taa washambuliaji wa kigeni kwenye mbio za kuwania kiatu cha mfungaji bora baada ya juzi kuifungia mabao mawili timu yake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyota watano waombewa ITC

WACHEZAJI watano wameombewa Hati ya Uhamisho ya Kimataifa (ITC) Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuwawezesha kucheza soka ya kulipwa nje ya Tanzania. Ofisa habari wa TFF, Boniface Wambura, aliwataja nyota...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota Senegal kutua Simba

Simba iko mbioni kumsajili mshambuliaji mpya raia wa Senegal, Papa Niang anayetarajiwa kutua nchini leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani