Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msechu: Ukubwa wa Nyota unanipa wakati mgumu kuja na ngoma ya kuizidi

Peter Msechu amesema kwa jinsi wimbo wake Nyota ulivyofanya vizuri, anashindwa kupata wimbo mwingune utakaoweza kufanya vizuri zaidi yake. Msechu ameiambia Bongo5 jana kuwa licha ya kuwa tayari ana nyimbo nyingi amerekodi, anaona hazina nguvu kama Nyota iliyotangulia. “Sasa nipo kwenye maandalizi ya video mpya pia nina kazi nyingi ambazo zipo tayari lakini napata wakati […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nyota imenifundisha biashara ya muziki — Msechu

Peter Msechu amesema wimbo wake, Nyota umemfanya aelewe na kuamua kufanya muziki wa kibiashara tofauti na alivyokuwa akifanya huko nyuma. Msechu ameiambia Bongo5 kuwa mwanzo alikuja hajaelewa siri ya mchezo. “Nyota ndio imenifanya nielewe maana biashara ya muziki,” amesema. “Sasa hivi nitakuwa nazingatia kila kitu kwenye muziki wangu. Muziki ni biashara kama biashara nyingine, sio […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msechu: Nyota ikidoda naacha muziki

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Peter Msechu amesema kama ngoma yake mpya ya ‘Nyota’ isipofanya vizuri katika soko la muziki huo, ataachana na maswala ya muziki. Katika ngoma...

 

10 years ago

GPL

11 years ago

Tanzania Daima

Ukubwa wa Bunge sio ukubwa wa ufanisi

JUMAPILI iliyopita mwandishi Juvenalis Ngowi aliandika kwenye safu yake ya Wazo Jepesi katika gazeti hili, kwamba tupunguze ukubwa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa yeye alilichukulia hilo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkwasa apata wakati mgumu

Klabu ya soka Yanga imewazuia nyota wake kujiunga na kikosi cha timu ya Taifa, Taifa Stars na badala yake wachezaji wote wa kikosi hicho waliondoka jana kwenda Tukuyu Mbeya kuweka kambi.

 

11 years ago

Bongo5

Msechu kuacha muziki iwapo wimbo wake mpya ‘Nyota’ hautofanya vizuri

Baada ya ngoma zake nyingi kutofanya vizuri, aliyewahi kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Tusker Project Fame, Peter Msechu amedai ataacha kabisa kufanya muziki iwapo wimbo wake mpya ‘Nyota’ aliomshirikisha Amini utafanya vibaya. Msechu amedai kuwa Nyota ni wimbo mkali ambao kama usipofanya vizuri basi atakubali kuwa huenda muziki si kipaji chake. “NYOTA by PETER MSECHU […]

 

11 years ago

GPL

MILA ZAMPA WAKATI MGUMU SHAMSA

Na Brighton Masalu
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukutana na mila za kabila la mumewe mtarajiwa, Dickson mwenye asili ya Musoma Vijijini, mkoani Mara. Shamsa Ford. Akizungumza na mwandishi wetu ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar, msanii huyo alisema alikutwa na magumu hayo mwishoni mwa mwezi uliopita alipokwenda kutambulishwa ukweni huko.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani