Msechu: Nyota ikidoda naacha muziki
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Peter Msechu amesema kama ngoma yake mpya ya ‘Nyota’ isipofanya vizuri katika soko la muziki huo, ataachana na maswala ya muziki. Katika ngoma...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo513 Oct
Nyota imenifundisha biashara ya muziki — Msechu
Peter Msechu amesema wimbo wake, Nyota umemfanya aelewe na kuamua kufanya muziki wa kibiashara tofauti na alivyokuwa akifanya huko nyuma. Msechu ameiambia Bongo5 kuwa mwanzo alikuja hajaelewa siri ya mchezo. “Nyota ndio imenifanya nielewe maana biashara ya muziki,” amesema. “Sasa hivi nitakuwa nazingatia kila kitu kwenye muziki wangu. Muziki ni biashara kama biashara nyingine, sio […]
11 years ago
Bongo510 Jul
Msechu kuacha muziki iwapo wimbo wake mpya ‘Nyota’ hautofanya vizuri
Baada ya ngoma zake nyingi kutofanya vizuri, aliyewahi kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Tusker Project Fame, Peter Msechu amedai ataacha kabisa kufanya muziki iwapo wimbo wake mpya ‘Nyota’ aliomshirikisha Amini utafanya vibaya. Msechu amedai kuwa Nyota ni wimbo mkali ambao kama usipofanya vizuri basi atakubali kuwa huenda muziki si kipaji chake. “NYOTA by PETER MSECHU […]
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/cDaUzbWdTcY/default.jpg)
10 years ago
GPL11 Dec
11 years ago
Michuzi16 Jul
9 years ago
Bongo510 Oct
Msechu: Ukubwa wa Nyota unanipa wakati mgumu kuja na ngoma ya kuizidi
Peter Msechu amesema kwa jinsi wimbo wake Nyota ulivyofanya vizuri, anashindwa kupata wimbo mwingune utakaoweza kufanya vizuri zaidi yake. Msechu ameiambia Bongo5 jana kuwa licha ya kuwa tayari ana nyimbo nyingi amerekodi, anaona hazina nguvu kama Nyota iliyotangulia. “Sasa nipo kwenye maandalizi ya video mpya pia nina kazi nyingi ambazo zipo tayari lakini napata wakati […]
10 years ago
Bongo519 Sep
Peter Msechu: Kauli kuhusiana na kuacha muziki ilitaka kunigharimu
Peter Msechu amesema kauli yake ya hivi karibuni kuwa kama wimbo wake aliomshirikisha Amini ‘Nyota’ usingefanya vizuri angeacha muziki, ilitaka kumponza kwakuwa alisema kwa utani tu na watu wakaichukulia kwa uzito mkubwa. Msechu ameiambia Bongo5 kuwa baada ya kutoa kauli hiyo alipokea simu nyingi kutoka kwa watu waliotaka kujua kama kweli amedhamiria. “Unajua niliongea vile […]
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Nyota aliyeamua kuacha chuo akafanye muziki
Kwa wafuatiliaji wa miondoko ya R&B, Luther Vandross siyo jina geni masikioni mwao kutokana na umahiri aliokuwa nao nyota huyo.
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Rose Muhando: Kutoka ombaomba hadi nyota wa muziki wa Injili kimataifa
>Maisha uliyoishi zamani hayawezi kukukwamisha kufikia malengo uliyojiwekea. Hakuna mtu ambaye alifikiri leo hii Rose Muhando angeweza kuwa mwanamuziki mkubwa wa nyimbo za Injili anayelipwa fedha nyingi kutokana na muziki wake, hasa kwa wale waliomjua tangu utoto wake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania