Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO MPYA: PETER MSECHU FT AMIN NYOTA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

New Video: Peter Msechu – Malava

Msechu

2015 haukuwa mwaka mbaya kwa muimbaji Peter Msechu, ambaye mbali na kutengeneza mkwanja mrefu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliopita, lakini pia aliweza kuachia kazi kadhaa ikiwemo wimbo huu ‘Malava’. Msechu anauanza mwaka mpya 2016 kwa kutambulisha video ya wimbo huo ambao audio yake ilitoka mwezi November, 2015. Video imeongozwa na director wa Kenya, Kevin Bosco Jnr.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Mabeste Ft Peter Msechu — Nishauri

Video mpya kutoka kwa Mabeste akimshirikisha Peter Msechu wimbo unaitwa “Nishauri” video Imeongozwa Na Mpenzi Wake Babeste ‘Lisa’.

 

9 years ago

MillardAyo

Peter Msechu anaukaribisha mwaka 2016 na kitu kipyakipya.. ‘Malava’ (Video)

Staa wa Bongofleva ambaye aliwahi kukiri kwamba hana uwezo mkubwa wa kuandika ngoma, ila kwenye kuimba ni balaa.., Peter Msechu ameukaribisha mwaka 2016 kwa kuachia wimbo wa ngoma ambayo ilitoka mwishoni mwa mwaka 2015 na iligonga sana kwenye mawimbi ya radio. Wimbo ni ‘Malava‘, cheki na hii ambayo Peter Msechu amefungulia mwaka mtu wangu. Unataka […]

The post Peter Msechu anaukaribisha mwaka 2016 na kitu kipyakipya.. ‘Malava’ (Video) appeared first on...

 

11 years ago

Bongo5

Msechu kuacha muziki iwapo wimbo wake mpya ‘Nyota’ hautofanya vizuri

Baada ya ngoma zake nyingi kutofanya vizuri, aliyewahi kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Tusker Project Fame, Peter Msechu amedai ataacha kabisa kufanya muziki iwapo wimbo wake mpya ‘Nyota’ aliomshirikisha Amini utafanya vibaya. Msechu amedai kuwa Nyota ni wimbo mkali ambao kama usipofanya vizuri basi atakubali kuwa huenda muziki si kipaji chake. “NYOTA by PETER MSECHU […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Ama The Maker Ft. Don Paul & Peter Msechu – Bachelor

Video mpya ya msanii Ama The Maker wimbo unaitwa “Bachelor” amewashirikisha Don Paul na Peter Msechu video imeongozwa na Omry.J. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani