Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msechu kuacha muziki iwapo wimbo wake mpya ‘Nyota’ hautofanya vizuri

Baada ya ngoma zake nyingi kutofanya vizuri, aliyewahi kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Tusker Project Fame, Peter Msechu amedai ataacha kabisa kufanya muziki iwapo wimbo wake mpya ‘Nyota’ aliomshirikisha Amini utafanya vibaya. Msechu amedai kuwa Nyota ni wimbo mkali ambao kama usipofanya vizuri basi atakubali kuwa huenda muziki si kipaji chake. “NYOTA by PETER MSECHU […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Nikki Mbishi atoa sababu za kubadili uamuzi wa kuacha muziki, kutoa wimbo mpya March 4

Rapper Nikki Mbishi ambaye aliuanza mwaka 2015 kwa kufanya uamuzi uliowashtua mashabiki wengi wa Hip Hop baada ya kutangaza kuacha muziki, ametangaza kuachia ngoma mpya wiki ijayo. Baada ya kuulizwa sababu zilizomfanya abadili uamuzi wake na kuendelea kufanya muziki hizi ndio sababu alizozitoa, “Nimegundua kwamba bado watu wananidai vitu vingi sana ngoja kwanza labda nimalizane […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msechu: Nyota ikidoda naacha muziki

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Peter Msechu amesema kama ngoma yake mpya ya ‘Nyota’ isipofanya vizuri katika soko la muziki huo, ataachana na maswala ya muziki. Katika ngoma...

 

9 years ago

Bongo5

Nyota imenifundisha biashara ya muziki — Msechu

Peter Msechu amesema wimbo wake, Nyota umemfanya aelewe na kuamua kufanya muziki wa kibiashara tofauti na alivyokuwa akifanya huko nyuma. Msechu ameiambia Bongo5 kuwa mwanzo alikuja hajaelewa siri ya mchezo. “Nyota ndio imenifanya nielewe maana biashara ya muziki,” amesema. “Sasa hivi nitakuwa nazingatia kila kitu kwenye muziki wangu. Muziki ni biashara kama biashara nyingine, sio […]

 

10 years ago

Bongo5

Peter Msechu: Kauli kuhusiana na kuacha muziki ilitaka kunigharimu

Peter Msechu amesema kauli yake ya hivi karibuni kuwa kama wimbo wake aliomshirikisha Amini ‘Nyota’ usingefanya vizuri angeacha muziki, ilitaka kumponza kwakuwa alisema kwa utani tu na watu wakaichukulia kwa uzito mkubwa. Msechu ameiambia Bongo5 kuwa baada ya kutoa kauli hiyo alipokea simu nyingi kutoka kwa watu waliotaka kujua kama kweli amedhamiria. “Unajua niliongea vile […]

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota aliyeamua kuacha chuo akafanye muziki

Kwa wafuatiliaji wa miondoko ya R&B, Luther Vandross siyo jina geni masikioni mwao kutokana na umahiri aliokuwa nao nyota huyo.

 

10 years ago

GPL

9 years ago

Michuzi

nyota wa muziki wa dansi na taarabu kutambulisha wimbo wa "amani kwanza' leo mango garden jijini Dar es salaam

Wimbo maalum wa kuhimiza amani kabla na baada ya uchaguzi mkuu, utawekwa rasmi hadharani mbele ya waandishi wa habari Jumanne hii.

 Wimbo huo uliopewa jina la “Amani Kwanza” utapigwa ‘live’ kwa mara ya kwanza mbele ya wana habari ndani ya ukumbi wa nyuma wa Mango Garden Kinondoni jijini Dar es Salaam kuanzia saa 6 mchana. “Amani Kwanza” ni ngoma iliyopigwa katika miondoko ya rhumba ikiwa imeshirikisha nyota wengi wa muziki wa dansi chini ya umoja  wa muda wa wanamuziki wa dansi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani