Peter Msechu – Malava Official Video (Directed by Kelvin Bosco)
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Jan
New Video: Peter Msechu – Malava

2015 haukuwa mwaka mbaya kwa muimbaji Peter Msechu, ambaye mbali na kutengeneza mkwanja mrefu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliopita, lakini pia aliweza kuachia kazi kadhaa ikiwemo wimbo huu ‘Malava’. Msechu anauanza mwaka mpya 2016 kwa kutambulisha video ya wimbo huo ambao audio yake ilitoka mwezi November, 2015. Video imeongozwa na director wa Kenya, Kevin Bosco Jnr.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari...
10 years ago
Vijimambo
9 years ago
Bongo517 Nov
Music: Peter Msechu – Malava

Mwanamuziki wa bongo fleva Peter Msechu ameachia waimbo mpya unaitwa “Malava”. Producer Teaz Villah
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Michuzi15 Nov
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Bongo504 Jul
Video ya ‘Mfalme’ ya Mwana FA imeongozwa na Kelvin Bosco, aliyeongoza ‘Asante’ ya AY
11 years ago
Bongo504 Nov
New Video: Mabeste Ft Peter Msechu — Nishauri
10 years ago
GPL11 Dec
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Peter Msechu anaukaribisha mwaka 2016 na kitu kipyakipya.. ‘Malava’ (Video)
Staa wa Bongofleva ambaye aliwahi kukiri kwamba hana uwezo mkubwa wa kuandika ngoma, ila kwenye kuimba ni balaa.., Peter Msechu ameukaribisha mwaka 2016 kwa kuachia wimbo wa ngoma ambayo ilitoka mwishoni mwa mwaka 2015 na iligonga sana kwenye mawimbi ya radio. Wimbo ni ‘Malava‘, cheki na hii ambayo Peter Msechu amefungulia mwaka mtu wangu. Unataka […]
The post Peter Msechu anaukaribisha mwaka 2016 na kitu kipyakipya.. ‘Malava’ (Video) appeared first on...