OYA UNGEKUWA NA UPUNGUFU WA DAMU NINGEKUONGEZEA LAKINI AKILI…
![](http://api.ning.com:80/files/DIpsX3jcHzMxe2QHUsCi-RVrEaIj1JhbtOz7YOx5GJjx7dkgiopLsvfuOpGR8atGzrNJ6A1w7lWAX0JYZXCMUq0lBSVj4yXo/mpekecopy.jpg)
Inakuwaje masela wangu hapo kitaani? Ni mpango mzima makachaa? Kama vipi wanangu kitaa hii hapana kwikwi. Basi barida! Tudei nina mizuka f’lani hivi so noo kumbwela. Hivi wanangu ukiona vichwa vinakula msoto hapo kwa fasi ya kitaa unadhani makachaa wanaweza kuwa na fyucha tamu au ndo kama hivyo mafisadi wameshatekiova? Wanangu kuna pipo hawambonji kisa wanataka uprezidenti wakati wamekulia ushuani wengine mambele na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*Aqe08L6-3Ywt9vQf1OwlpZiLo-L3I3PPCJY0Hn4fElNjuwfTw-V6*265s4*HyKpzE9XqTcFBeq02gm46UaYCXd/mpekepeke11.jpg)
OYA MASELA BINADAMU DAMU, BILA DAMU SANAMU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGjSh*RvIdv4*CTC7kB4bNk-oUpu-jGM22taF0uYMlaz5Mtj4Q9n9-KvzwZkBw6E*BKoEYobSZNQ9*K6Ldw2zZlz/mpeeeeeeeeee90.jpg)
OYA MASELA TULIENI…KURUKARUKA ZIACHIE POPKONI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NQs0dYxvfMV*4RbPewXfxMZ7pAnGdsAKNls7*VF2co2WcJgHrX6wL84zfnyYSwXvItqrpc4STKESbQzU1KHjmeJ87dVkoWZ3/mpekkerrcopy.gif)
OYA JOMBAA… KAMA VIPI KULA ZA USO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL12gBntk7IidwiKUPkrHYL*2a8sNj5KZhC6F88T7Qp*ygbl-Kv1bt4vAtjmCfjLz1i*YrSG2N5uXlnaXl3Bxg3-/1pekepeke.jpg?width=650)
OYA…UKITAKA KUJUA KAMA UNA MBIO, OMBA UFUMANIWE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4iCTF1Rc2VbnRaPWw6OqHJRDrtFEuIAfM3JWpYZ1IPyw790keWE5rjzG7C9xD0vH0LlnCzLsBSxxC2ptCQc9TF6/mpekescopy.gif)
OYA…TULIZA MIZUKA IBILISI MTOA ROHO YUPO JOBU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Whapl-f-NAY54FwrImRTK1V4BtKrHFT6hQdW5OBKMaBKvnJkG*-jGBtY8kLB7d4iDpMcDDKJD9wDwbqwKKW-vsL3BW7eQTh0/rihama.jpg)
RIYAMA: MCHUMBA NINAYE LAKINI…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39fnlIVq7rrd2Y9M0cZr71TY53MAH4nC-g0gBV6A2PMS3pmEs-mNE*NGB9K5q0gWZrLFSin-8zXjYQ9PhtdfG0pK/sickle.jpg?width=650)
UPUNGUFU WA DAMU KWA MJAMZITO -2
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Fahamu aina za upungufu wa damu mwilini-2
Katika makala ya wiki iliyopita tuliangazia tatizo la upungufu wa damu mwilini wengine huita Anaemia ambalo ni jina la jumla linalotumiwa kubainisha aina mbalimbali za upungufu wa damu mwilini.
Tukasema kiwango cha kawaida cha chembe nyekundu za damu (Hb) katika mwili wa binadamu ni kati ya gramu 12 mpaka 14 kwa kila milimita ya damu, zikiwa pungufu ya hapo mtu huyo anakuwa na tatizo la upungufu wa damu.
Tulitaja aina za upungufu wa damu kama vile Pernicious Anaemia na Aplastica Anaemia....
11 years ago
Mwananchi07 May
Damu hutolewa bure lakini ...