Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Damu hutolewa bure lakini ...

>Siku za hivi karibuni Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imekuwa ikitoa matangazo katika televisheni na redio kuwa damu inatolewa bure katika hospitali zote na vituo vya afya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OYA UNGEKUWA NA UPUNGUFU WA DAMU NINGEKUONGEZEA LAKINI AKILI…

Inakuwaje masela wangu hapo kitaani? Ni mpango mzima makachaa? Kama vipi wanangu kitaa hii hapana kwikwi. Basi barida!
Tudei nina mizuka f’lani hivi so noo kumbwela. Hivi wanangu ukiona vichwa vinakula msoto hapo kwa fasi ya kitaa unadhani makachaa wanaweza kuwa na fyucha tamu au ndo kama hivyo mafisadi wameshatekiova? Wanangu kuna pipo hawambonji kisa wanataka uprezidenti wakati wamekulia ushuani wengine mambele na...

 

9 years ago

Bongo5

Mahaba ya Wana Dar yamfanya Wizkid aahidi show ya bure, lakini…

20151101012213Mapokezi na mapenzi aliyoyapata Wizkid jijini Dar es Salaam yamemfanye avunje safari yake leo kurudi Lagos, na kuahidi show ya bure Jumapili hii. Wizkid alioneshwa kushangazwa na shangwe za mashabiki hao, hali iliyofanya afanye show kwa muda mrefu zaidi. Alisema hakuwahi kukutana na mashabibi wenye upendo kuwazidi Watanzania. “Ilikuwa niondoke lakini sitaondaka na kesho natafuta […]

 

9 years ago

Michuzi

KESHO NI SIKU YA MOYO DUNIANI:WANANCHI KUPIMWA SHINIKIZO LA DAMU BURE



 Daktari Bingwa wa magonwa ya moyo, Dk Tulizo Shemu (kulia) wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akizungumza na waandishi wa habari katika taasisi hiyo kuhusu siku ya afya ya moyo duniani ambayo inafanyika Septemba 29, kila mwaka. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo nchini, Dk Tatizo Wane (kulia) wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akizungumza na waandishi wa habari katika taasisi hiyo kuhusu siku ya...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA TUNATOA DAMU BURE KWA WOTE WENYE UHITAJI -DKT.MGASA


Mkuu wa Idara ya Ukusanyaji Damu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Dkt. Avelina Mgasa.

……………………………………………………………………………………………………

MPANGO wa Taifa wa Damu Salama ulio chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto umetoa rai kwa Wananchi kutoa taarifa kwa wanaouza damu ili wachukuliwe hatua kali za kisheria kwani damu inatolewa bure kwa wahitaji.

Rai hiyo imetolewa hivi karibuni na Mkuu wa Idara ya Ukusanyaji Damu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Dk. Avelina Mgasa wakati...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI IMESEMA MATIBABU YA DENGUE HUTOLEWA BILA MALIPO

Na Magreth Kinabo – MAELEZO 
 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Said Meck Sadiki, amewataka wananchi wa mkoa huo wanapohisi wana dalili za ugonjwa wa dengue kuwenda katika hospitali za Serikali kwa kuwa matibabu hutolewa bila malipo.
Kauli  hiyo imetolewa na Mkuu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari  baada ya kuulizwa swali juu ya  gharama   kubwa za matibabu ya ugonjwa huo, kwenye ukumbi wa mkutano wa Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
 “Tunaomba wananchi wanapohiisi...

 

11 years ago

GPL

MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA

Bango kwa ajili ya uhamasichaji wa uchangiaji damu.
Hapa ni kwa aajili ya kupimwa presha, ushauri na kutolewa damu.
Hatua ya kwanza kwa mchangia damu.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa Benki ya Barclays wajitolea Damu kuadhimisha siku ya Damu Duniani

01

Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Agnes Mushi akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani inayotarajiwa kuadhimishwa kesho. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni Mtaalamu wa kutoa damu kutoka kitengo cha Damu Salama, Judith Goshashy.

02

Wafanyakazi wa Benki ya Barclays Tanzania, Marcy  Mwakajwanga na Kassim Kanyamara (kulia) wakijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha Siku ya Damu Duniani...

 

5 years ago

Michuzi

AZAM FC, TFF KUADHIMISHA SIKU YA UTOAJI DAMU DUNIANI KWA KUCHANGIA DAMU

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKUELEKEA siku ya utoaji damu duniani Juni 14 kila mwaka, Klabu ya Azam imeungana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuadhimisha siku hiyo muhimu.
Zoezi hilo la uchangiaji damu linatarajiwa kufanyika nje ya Uwanja wa Azam Complex kuanzia majira ya saa 6 mchana.
Juni 14, Azam itakuwa ikicheza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mbao saa 1.00 usiku na kuhusisha watu wa aina mbalimbali.
Zoezi hilo la uchangiaji damu na kudumisha shirikiano huo...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI JUNI 14, 2014

 Mtaalam wa kutoa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Peter Chami (kushoto) akimtoa damu Meneja Mwandamizi Tawi la Samora la Benki ya Exim Nancy Huggins, ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani inayofanyika kila mwaka ifikapo Juni 14  Mtaalam wa kutoa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Peter Chami (kushoto) akimtoa damu Afisa wa Benki ya Exim Daniel Lukuba, ikiwa ni maadhimisho ya Siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani