Mahaba ya Wana Dar yamfanya Wizkid aahidi show ya bure, lakini…
Mapokezi na mapenzi aliyoyapata Wizkid jijini Dar es Salaam yamemfanye avunje safari yake leo kurudi Lagos, na kuahidi show ya bure Jumapili hii. Wizkid alioneshwa kushangazwa na shangwe za mashabiki hao, hali iliyofanya afanye show kwa muda mrefu zaidi. Alisema hakuwahi kukutana na mashabibi wenye upendo kuwazidi Watanzania. “Ilikuwa niondoke lakini sitaondaka na kesho natafuta […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 May
Damu hutolewa bure lakini ...
10 years ago
Habarileo06 Sep
JK aahidi kuisukuma NHC kujenga nyumba Chemba lakini…
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Halmashauri ya Chemba kutoa ardhi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ili liweze kujenga nyumba kwa ajili ya watumishi wa halmashauri hiyo.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-rjjH6yJLxI0/VdaFgPgFzdI/AAAAAAAAkkc/6DvOTrTMZDc/s72-c/1.jpg)
NAPE AWASHUKURU WANA CCM MTAMA AAHIDI KUTOWAANGUSHA
![](http://4.bp.blogspot.com/-rjjH6yJLxI0/VdaFgPgFzdI/AAAAAAAAkkc/6DvOTrTMZDc/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-rMq_p1o__Uk/VdaFigK1ItI/AAAAAAAAkl8/L7d6V8tZQLw/s640/2.jpg)
9 years ago
Bongo501 Nov
Picha: Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q waangusha show ya nguvu
![Wizkid](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Wizkid1-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo502 Nov
Uchambuzi: Show ya Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q ilikuwa moto wa kuotea mbali, soma yaliyojiri
![Wizkid](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Wizkid1-94x94.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/3qTifbjMC2o/default.jpg)
9 years ago
Bongo522 Oct
Rihanna asema akipata nafasi ya kuja tena Afrika itakuwa ni kwaajili ya show ya bure!
9 years ago
Bongo504 Dec
Niliwahi kuimba kwenye show za bure zaidi ya 300 kabla sijawa maarufu – Yemi Alade
![yemi-alade](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/yemi-alade-300x194.jpg)
Mafanikio kwenye muziki huwa hayaji kirahisi wala kwa muda mfupi. Mmoja wa waimbaji wakubwa wa Afrika, Yemi Alade kutoka Nigeria amesema kuwa aliwahi kuimba kwenye show za bure zaidi ya 300 kabla hajawa msanii mkubwa.
Yemi aliyejipatia umaarufu mkubwa sehemu nyingi za Afrika kupitia hit song yake ‘Johnny’, amegusia sehemu ya historia yake ya kimuziki katika mahojiano na kituo cha radio Beat Fm cha Nigeria.
“It wasn’t easy in the beginning. I performed at over 300 free shows before I came...
10 years ago
Bongo503 Mar
Wizkid amkosha Rais wa Gambia kwenye sherehe za Uhuru wa nchi hiyo, Rais amuomba arudie show siku iliyofata