Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Niliwahi kuimba kwenye show za bure zaidi ya 300 kabla sijawa maarufu – Yemi Alade

yemi-alade

Mafanikio kwenye muziki huwa hayaji kirahisi wala kwa muda mfupi. Mmoja wa waimbaji wakubwa wa Afrika, Yemi Alade kutoka Nigeria amesema kuwa aliwahi kuimba kwenye show za bure zaidi ya 300 kabla hajawa msanii mkubwa.

yemi-alade

Yemi aliyejipatia umaarufu mkubwa sehemu nyingi za Afrika kupitia hit song yake ‘Johnny’, amegusia sehemu ya historia yake ya kimuziki katika mahojiano na kituo cha radio Beat Fm cha Nigeria.

“It wasn’t easy in the beginning. I performed at over 300 free shows before I came...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Layla (Voice Fairy) – Msanii chipukizi wa Bongo aliyeshinda shindano la Yemi Alade na kuwa staa kwa kuimba cover za wasanii

11253897_955031214568617_1983885996_n

Kwa wapenzi wa mtandao wa Instagram, jina na sura ya Layla aka The Voice Fairy sio vigeni.

11253897_955031214568617_1983885996_n

Muimbaji huyo wa Mwanza anayeishia Dar es Salaam kimasomo amejipatia umaarufu kwenye ulimwengu wa Instagram kwa kuimba nyimbo za wasanii wengine (cover) kabla hata ya kurekodi wimbo wake ‘Hoi Hoi’ uliotoka wiki iliyopita.

10249313_428053124072355_1371821855_n

“Napenda sana kuimba nyimbo za watu napost kwenye Instagram yangu,” Layla alikiambia kipindi cha The Bridge cha Radio Free Africa, Jumapili, Nov 15.

“So hiyo ilinijengea...

 

10 years ago

Vijimambo

Yemi Alade discovers her twin at Awka show

Singer Yemi Alade played a stunning stage trick on her fans at last weekend's Awka leg of Star Music Trek when a stunt double was introduced as her before she made her entry to the stage. Dressed in an African print hood jacket over a black tube and jeans with sandals and a pair of dark shades, the stunt double waltzed into stage with two dancers. The crowd cheered her on, unaware that the real Yemi Alade was still backstage.

When she finally emerged dressed in a short flair dress and rocking...

 

9 years ago

MillardAyo

Vitu vitatu vya kufahamu kutoka kwa Yemi Alade kabla ya kufunga mwaka wa 2015!

Staa wa muziki kutoka Nigeria Yemi Alade ni mmoja wa wasanii kutoka Africa wanaohesabika kuwa na ushawishi mkubwa kwenye soko la muziki la Africa… Nimekutana na interview moja ya Yemi Alade aliyofanya siku chache zilizopita, ndani yake staa huyo amegusia vitu vitatu vikubwa; safari yake ya muziki, sababu iliyopelekea single ya Johnny kuandikwa na mafanikio […]

The post Vitu vitatu vya kufahamu kutoka kwa Yemi Alade kabla ya kufunga mwaka wa 2015! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Diamond kurekodi na Yemi Alade kwenye Coke Studio Africa

Diamond Platnumz amerejea tena kwenye msimu wa pili wa kipindi cha Coke Studio Africa na awamu hii atatangeneza pair na hitmaker wa Johny, Yemi Alade kutoka nchini Nigeria. Diamond na Yemi Alade Diamond ni msanii wa nne mwaka huu kutoka Tanzania aliyeshiriki kwenye kipindi hicho kinachorekodiwa jijini Nairobi, Kenya. Wengine ni Vanessa Mdee aliyerekodi na […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Yemi Alade Ft. DJ Arafat – Do As I Do

yemi

Mwanamuziki kutoka Nigeria, Yemi Alade amerudi na single mpya kutoka kwenye album yake,”Mama Africa” mpya inayotegemea kuwa mtaani hivi karibuni. Wimbo unaitwa “Do As I Do” wimbo huu amemshirikisha staa kutoka Ivory Coast , DJ Arafat. Mtayarishaji wa wimbo huu ni Selebobo (on the beat).

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Global Publishers

Muonekano mpya wa Yemi Alade

Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-3-600x600 Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-4-600x600 Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-600x600

STAA wa muziki nchini Nigeria, Yemi Alade ameachia picha zake mpya zinazoonyesha muonekano wake wa sasa.

Picha hizo zimepigwa na mpiga picha Kelechi Amadi-Obi.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Yemi Alade — Sugar

Hit maker wa ‘Johnny’, Yemi Alade wa Nigeria ametoa video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Sugar’. Video hiyo ilioongozwa na Paul Gambit imefanyika London, Uingereza pamoja na Lagos, Nigeria. Sugar ni single ya 9 kutoka kwenye album ya Yemi, “King of Queens”. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani