Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rihanna asema akipata nafasi ya kuja tena Afrika itakuwa ni kwaajili ya show ya bure!

Katika mahojiano na jarida la The New York Style, mwimbaji wa Barbados, Rihanna amesema kuwa endapo atapata nafasi ya kuja tena Afrika basi huenda ikawa ni kwaajili ya kufanya show ya bure. Bahati mbaya ni kuwa hii haiwahusu mashabiki wa Afrika Mashariki kwasababu staa huyo alikuwa akizungumzia Afrika Magharibi. “You know what? If I ever […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mtangaza nia ubunge Ludewa aangukia pua nafasi ya NEC , asema hataki tena kugombea

Aliyeshindwa ujumbe wa NEC Ludewa Injinia Zephania Chaula  akiangana na mbunge  Deo  Filikunjombe baada ya  kushindwa katika nafasi  hiyo, Chaula alikuwa ni mmoja wa wana CCM waliokuwa  wakitaka kuwania ubunge jimbo la Ludewa Chaula akiagana na mshindi Mzee Nkwera. 

Mkuu wa wilaya ya  Ludewa, Antonia Choya akimkabidhi  hati ya shukrani mbunge wa Ludewa  Deo Filikunjombe (kushoto).

Mjumbe wa mkutano huo Bw. Choya akipiga kura.

Wajumbe wakishiriki kupiga kura.

 

Wajumbe ...

 

10 years ago

Bongo5

Dokta Mwaka kuja na semina ya afya kwaajili ya wasanii na vijana kwa ujumla

Daktari wa masuaa ya afya ya uzazi na mengine, Dr. Mwaka ameandaa semina maalumu ya kutoa elimu ya afya kwa ajili ya wasanii na vijana nchini, ikiwa na lengo la kutoa elimu ya uzazi kwa vijana. Dr Mwaka na Mkurugenzi Mkuu wa THT, Ruge Mutahaba wakiongea na waandishi Dr Mwaka akiongea na waandishi wa habari […]

 

10 years ago

Vijimambo

Dk. Slaa: Tukishinda elimu itakuwa bure

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Willibrod Slaa (pichani), amesema chama hicho kimejiwekea ajenda nne na kuwa ifikapo 2015 kikishika dola, kazi yao ni kutoa elimu bure na bora kwa watanzania.

Hata hivyo, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeichakachua sera hiyo ya Chadema iliyowekwa katika Ilani yake ya uchaguzi wa mwaka 2010 na kusema elimu ya bure inawezekana, ingawa hadi leo chama tawala kimeshindwa kutekeleza ahadi hiyo.

Alitoa kauli hiyo alipokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

MUSTAFA PANJU AJINADI KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUSHA ASEMA AKIPATA UBUNGE HAWATAJUTIA KAMWE

SAM_3941Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha Mustafa Panju ambaye ni mmoja wa wagombea wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha mapinduzi CCM akiongea katika mkutano wa hadhara katika kata mpya ya Olmoti jana ambapo wagombea 12 walipata fursa ya kujitambulisha kwa wananchi na kunadi sera zao, Mustapha panju amesema kuwa kilicho msukuma kugombea nafasi hiyo ni kuakikisha wananchi wa jimbo la arusha wanapata ridhaa ya kuwa na maendeleo ya hali ya juu...

 

9 years ago

Bongo5

Hatimaye Diamond afanya collabo na Ne-Yo, asema itakuwa ‘hit song’

Kile kilichosubiriwa kwa hamu na mashabiki toka Diamond na Ne-Yo wakutane Afrika Kusini kwenye tuzo za MAMA 2015 hatimaye kimetimia, ni collabo ya Diamond Platnumz na mwimbaji huyo wa R&B kutoka Marekani. Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram amemshukuru Ne-Yo baada ya kumaliza kurekodi wimbo huo. Katika picha aliyopost akiwa na Ne-Yo studio, pia anaonekana […]

 

11 years ago

Bongo5

Ray C asema alivamiwa na kupigwa na Chid Benz ‘itakuwa amechanyikiwa na madawa’

Msanii wa muziki na mmiliki wa Ray foundation, Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kusema kuwa alhamisi (july 10) alivamiwa na kupigwa na msanii Chid Benz. Akizungumza na bongo5 leo ,Ray C amesema kuwa Chid Benz anatafutwa na polisi baada ya kufanya tukio hilo. “kweli alinivamia alhamisi usiku, amenipiga mimi na amefanya uharibifu wa […]

 

9 years ago

Bongo5

Wizkid asema R.Kelly alimpigia simu kumwomba kufanya naye collabo kwaajili ya album yake

wizkidayoWizkid kutoka Nigeria ambaye tayari yuko jijini Dar kwaajili ya show ya leo (Oct.31), amezungumzia kuhusu mafanikio yaliyoletwa na hit song yake ‘Ojuelegba’ kimataifa. Katika mahojiano na East Africa Radio, Wizkid amesema miongoni mwa mafanikio yaliyoletwa na wimbo huo ambao Drake alivutiwa nao na kuamua kufanya Remix, ni pamoja na kumkutanisha na wasanii wengi wakubwa […]

 

9 years ago

Bongo5

Dina Marious kuja na TV Show ‘Maisha Class’

12292840_1526574470973286_395123677_n

Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo cha EFM, Dina Marious anatarajia kuja na kipindi chake cha TV kiitwacho, ‘Maisha Class’ kitakachokuwa kikizungumzia mambo mbalimbali ya jamii.

12292840_1526574470973286_395123677_n

Mtangazaji huyo wa zamani wa Clouds FM, ametoa taarifa hiyo kupitia Instagram:

Muda mrefu nimetamani kuwa na tv talk show lakini muda bado naona sasa wakati bado najiweka sawa tufanye hivi. Nimekuwa naandika sana hapa insta vitu mbali mbali vya kujengana na kukumbushana kuhusu maisha yetu ya kila siku.Haya ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani