Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dina Marious kuja na TV Show ‘Maisha Class’

12292840_1526574470973286_395123677_n

Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo cha EFM, Dina Marious anatarajia kuja na kipindi chake cha TV kiitwacho, ‘Maisha Class’ kitakachokuwa kikizungumzia mambo mbalimbali ya jamii.

12292840_1526574470973286_395123677_n

Mtangazaji huyo wa zamani wa Clouds FM, ametoa taarifa hiyo kupitia Instagram:

Muda mrefu nimetamani kuwa na tv talk show lakini muda bado naona sasa wakati bado najiweka sawa tufanye hivi. Nimekuwa naandika sana hapa insta vitu mbali mbali vya kujengana na kukumbushana kuhusu maisha yetu ya kila siku.Haya ni...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DINA MARIOUS NA ZAMARADI MKETEMA WATUPIANA MANENO INSTAGRAM, KISA KIKO HAPA.

Kumekuwa hakuna maelewano mazuri katika ya watangazaji hawa wawili baada ya Dina Marious kusimamishwa kazi katika radio hiyo.

Katika Mtandao wa Instagram Dina Marious ameandika kwa kirefu kabisa kuhusu inshu hii, akiwa kama anamzungumzia Zamaradi, Dina ameandika “Leo nimeguswa kuongea na SNITCHES makazini na maofisini a.k.a boss little pet.Kuna siku kuna dada alinipigia simu nimshauri namna ya kuishi na mtu ambae wako karibu kazini lakini amekuwa akimsitch kazini anapeleka maneno ya umbea kwa...

 

10 years ago

Bongo5

Jokate na Gaetano kuja na show yao Maisha Magic, December hii

Baada ya Salama Jabir kupata shavu la kuwa na show kwenye kituo cha runinga cha Maisha Magic, sasa ni zamu ya Jokate Mwegelo. Mtangazaji huyo anatarajiwa kuongeza show yake ya tatu katika TV (baada ya The One Show ya TV1 na Top 10 Most ya Channel O), itakayoanza kuonekana kupitia Maisha Magic, December mwaka huu. […]

 

10 years ago

Bongo5

Salama Jabir na Malonza (Kenya) kuja na show mpya Maisha Magic

Huenda mashabiki wa Salama Jabir hawataishia kumuona kwenye kipindi cha Mkasi peke yake. Staa huyo anaonekana kuungana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Kenya kwenye Big Brother Stargame, Malonza Chege kwenye kipindi kipya Maisha Magic ambacho hakijajulikana kitaitwaje.

 

10 years ago

Bongo5

Couple ya Pokello na Elikem kuja na Reality Tv show ya maisha yao baada ya BBA ‘Our World After’

Reality show ya Big Brother Africa imekuwa ikiwafungulia milango washiriki ambao wengi wao baada ya kutoka hupata fursa mbalimbali za kuwatoa kimaisha, kutokana na kuonekana katika nchi nyingi za Afrika hivyo kujenga majina yao kwa miezi mitatu wanayokaa mjengoni. Couple ya Elikem Kumordzi (Ghana) na Pokello Nare (Zimbabwe) iliyozaliwa kwenye BBA, ambao November mwaka jana […]

 

10 years ago

Bongo5

6 legends; 6 stars; 1 spotlight: Maisha Magic kuja na shindano la muziki ‘Maisha Supastar’

Kituo cha televisheni cha Maisha Magic cha DSTV, kinatarajia kuja na shindano kubwa la kusaka vipaji vya muziki Afrika Mashariki, ‘Maisha Superstar’. “This will be the revolutionary Talent Search Show East Africa has ever had. For the first time viewers will experience the real science behind making a platinum selling music act,” wameandika kwenye website […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Yamoto Band wazindua video yao kwa bonge la show Maisha Club, hizi ni picha za show nzima

Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,

Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.

IMG_9221

 

9 years ago

Bongo5

Idris Sultan kuja na TV show mbili, zitakazooneshwa kupitia Vuzu na BET

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Hotshots Idris Sultan, amesema anakuja na vipindi viwili vya TV vitakavyorushwa kupitia vituo vya runinga vya Vuzu, Afrika Kusini na BET Africa. Idris amesema kuonekana kwake kwenye mitandao wa kijamii isidhaniwe kuwa amekosa kazi za kufanya. “Ukiwa mtu maarufu watu wanahitaji kukuona muda wote na huwezi kupata […]

 

9 years ago

Bongo5

Ja Rule kuja na reality show, double album na ziara ya dunia na Ashanti

Rapper Ja Rule aliyewahi kutumikia kifungo cha miezi 28 jela kuanzia mwaka 2011 anatarajia kuanza kuonekana zaidi kwa kuja na reality show, double album na ziara ya dunia na Ashanti. Kwa sasa Ja Rule anaishi na mke wake Aisha na watoto wao watatu, mama yake na mama mkwe watakaonekana kwenye reality show, Follow the Rules […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani