Mtangaza nia ubunge Ludewa aangukia pua nafasi ya NEC , asema hataki tena kugombea
Aliyeshindwa ujumbe wa NEC Ludewa Injinia Zephania Chaula akiangana na mbunge Deo Filikunjombe baada ya kushindwa katika nafasi hiyo, Chaula alikuwa ni mmoja wa wana CCM waliokuwa wakitaka kuwania ubunge jimbo la Ludewa
Chaula akiagana na mshindi Mzee Nkwera.
Mkuu wa wilaya ya Ludewa, Antonia Choya akimkabidhi hati ya shukrani mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (kushoto).
Mjumbe wa mkutano huo Bw. Choya akipiga kura.
Wajumbe wakishiriki kupiga kura.
Wajumbe ...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMTANGAZA NIA UBUNGE LUDEWA AANGUKIA PUA NAFASI YA NEC, AAPA KUTOKUGOMBEA UBUNGE
9 years ago
Bongo511 Nov
Masanja aangukia pua kwenye kura za maoni ya ubunge Ludewa
![Masanja Mkandamizaji](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Masanja-Mkandamizaji-300x194.png)
Mchekeshaji, Masanja Mkandanizaji ameangukia pua katika kura za maoni za ubunge katika jimbo la Ludema baada ya kupata kura chache.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Deo Ngalawa aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501.
Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21)...
10 years ago
VijimamboMTANGAZA NIA YA UBUNGE JIMBO LA KAWE KUPITIA CCM, WAKILI ELIAS NAWERA AHIMIZA VIJANA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA
9 years ago
VijimamboMGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO
10 years ago
Mtanzania23 Aug
Magufuli aangukia pua
![Waziri John Magufuli](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/John-Magufuli.jpg)
Waziri John Magufuli
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Wachina wa ‘samaki wa Magufuli’ na kuamuru Jamhuri iwarejeshee vitu vyao ikiwemo meli ya Tawaliq 1.
Wachina hao Nahodha wa meli, Hsu Chin Tai na Wakala wa Meli ya Tawaliq 1, Zhao Hanquing waliachiwa jana kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashitaka.
Hii ni mara ya pili kwa Wachina hao kuachiwa kwani mara ya kwanza waliachiwa na Mahakama ya Rufaa Machi 28 mwaka huu, walikamatwa tena na...
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Kisena aangukia pua Mahakama Kuu
MAHAKAMA Kuu imetupilia mbali kesi mpya iliyofunguliwa na mmiliki wa Kampuni ya usafirishaji ya UDA, Robert Kisena dhidi ya mfanyabiashara Alex Msama na wenzake watatu kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichopo...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/u-8Cq3szLXM/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-m3REVwRCIPA/XujWHTAYhEI/AAAAAAALuEo/EaN9bfVK-AowyddKposPBhOvI2QlN7_1QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-16%2Bat%2B4.46.16%2BPM.jpeg)
HATUTAKI KUTUMIA NGUVU NYINGI KUWANADI WAGOMBEA NAFASI YA UBUNGE NA UDIWANI-CCM LUDEWA
Hayo aliyasema katibu wa chama hicho wilaya Bakari Mfaume katika mkutano wa kamati kuu ya chama hicho uliolenga kujadili utaratibu na mchakato mzima wa uchukuaji fomu za kugombea nafasi hizo.
Alisema kuwa kwa sasa hawataki kukata viuno majukwaani na kuongea sana ili kumfanya akubalike...
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Mwenyekiti UWT Ikungi atimuliwa CCM, aenda Chadema aangukia pua
Katibu wa CCM wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Aluu Segamba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha),juu ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wilayani humo, Christina Hamisi kujivua unachama na kufukuzwa kazi kwa madai ya kuvunja sheria, kanuni na taratibu za chama tawala.(Picha na Nathaniel Limu).
Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Singida, Mary Maziku akizungumza na wanahabari juu ya kufukuzwa uongozi aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ikungi Christina Samwel...