Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je wajua kauli gani ya Mwinyi iliyoivuruga UKAWA?Hii hapa.

Mkapa na Mwinyi Chama Cha Mapinduzi (CCM), jana  kilivunja rekodi yake kilipozindua kampeni zake katika viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam baada ya kuwakusanya maelfu ya wananchi waliojitokeza kuwasikiliza viongozi wa chama hicho na hasa mgombea urais, Dk. John Magufuli.

Katika uzinduzi huo ulihudhuriwa na rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na rais wa awamu ya awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete ambao wote walirusha makombora upande wa wapinzani wakimpigia...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

KAULI MPYA YA MKAPA KUHUSU UKAWA, SOMA HAPA


Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tatu alisema kuwa lengo la vyama vya upinzani ni kuing’oa CCM na lengo la chama hicho tawala ni kuendelea...

 

10 years ago

Vijimambo

"Kuna Tatizo gani Lipumba Kupigwa Nawapongeza sana Polisi kwa Kumpiga"Hii ni kauli ya Lusinde Bungeni

Kulikuwa na mvutano mkali sana bungeni wakati wabunge wakijadili hoja ya Lipumba kupigwa. Hapo chini nimekuwekea michango ya Lusinde na Sadifa waliyoitoa Bungeni:Lusinde: Kwani kupigwa Lipumba ndiyo tatizo, wamepigwa viongozi wangapi hapa, Lipumba siyo wa kwanza kupigwaLusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe, ndiyo nzuri hiyo, siyo wapigwe wengine, kupigwa kazini ndiyo sawa
Lusinde: Bunge linapokwenda mwishoni wabunge wenye hali mbaya majimboni...

 

9 years ago

Vijimambo

UMESIKIA HII KAULI YA MREMA BAADA YA KUKOSA WATU KWENYE KAMPENI ZAKE? SOMA HAPA



Mwenyekiti Taifa wa chama cha Tanzania Labour Party TLP, na mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Augustino Mrema, amelalamikia kuwa anafanyiwa siasa chafu na wapinzani wake.Akizungumza na waandishi wa habari jimboni Vunjo, Mrema amepeleka lawama moja kwa moja kwa viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, kwa kumchafua kwa matusi kwenye kampeni pamoja na kufanyiwa ubaguzi.“Siwalaumu wanachama wa CHADEMA, viongozi wao ndio wenye fujo na mimi, sasa najiuliza tatizo ni nini uzee wangu?...

 

9 years ago

Raia Mwema

Siri ya Warioba, Ukawa hii hapa

WAZIRI Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba na mwenzake katika wadhifa huo kwa nyakati tofauti za

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Michuzi

JE WAJUA MKATABA WAKO WA AJIRA NI WA AINA GANI KISHERIA.


Na  Bashir  Yakub
Kama  ilivyo  makubaliano  katika  shughuli  nyingine  za  kijamii  ajira  nayo  huwa  na  makubaliano  maalum  wakati   inapoingiwa. Makubaliano  haya ndiyo  huitwa  mkataba na  yumkini  huingiwa  kati  ya  wahusika  wawili  yaani  muajiriwa  na  muajiri. Aina  ya  mahusiano  wanayoingia  wahusika  ndiyo  huibua  aina za haki  na   wajibu  kwa  pande  zote  mbili. Mwenye  haki  hutakiwa  kutoa  haki  hiyo  kwa  mwenzake  naye  mwenye  wajibu  huwa  hana hiari  isipokuwa ...

 

9 years ago

StarTV

Umoja wa Vijana Geita wazindua kitabu maalumu je wajua kitabu gani?

Marafiki wa Magufuli Kanda ya Ziwa kupitia Umoja wa Vijana Mkoa wa Geita wamezindua kitabu maalum kiitwacho TINGATINGA ikiwa ni sehemu mojawapo ya kampeni ndani na nje ya mkoa huo kitakachomnadi mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli.

 Vijana hao wamesema kitabu cha TINGATINGA kitasaidia wananchi kumjua kiundani Dokta Magufuli kwa kuwa kitasambazwa mijini na vijijini wakiwa na imani kuwa watakaosoma na kukielewa kitabu hicho watafanya maamuzi sahihi kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wajua picha hii iliyovuma sana mtandaoni ilitoka wapi?

Picha hii ya mvulana anayeonekana kujiuliza maswali si haba akilini mwake akiwa na Mzungu imesambazwa mara nyingi sana mtandaoni.

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani