Umoja wa Vijana Geita wazindua kitabu maalumu je wajua kitabu gani?
Marafiki wa Magufuli Kanda ya Ziwa kupitia Umoja wa Vijana Mkoa wa Geita wamezindua kitabu maalum kiitwacho TINGATINGA ikiwa ni sehemu mojawapo ya kampeni ndani na nje ya mkoa huo kitakachomnadi mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli.
Vijana hao wamesema kitabu cha TINGATINGA kitasaidia wananchi kumjua kiundani Dokta Magufuli kwa kuwa kitasambazwa mijini na vijijini wakiwa na imani kuwa watakaosoma na kukielewa kitabu hicho watafanya maamuzi sahihi kwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Apr
Kanisa laandaa kitabu maalumu kumhusu msichana
KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Gide, jijini Dar es Salaam limeandaa kitabu maalumu kuhusu msichana ambacho pamoja na masuala mengine, kinalenga kumwepusha na vishawishi na kumpotezea dira ya maisha.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZfh0LDDoRXeGmyp2bAlS5RmAhzYrrdKIqknT6AMmpibFGhLwWq*n5uLDBD55hiehDyVbOPuJzclYJQfUIseeoUE/22.jpg?width=650)
MWANAFUNZI WA ARDHI ATOA CHANGAMOTO KWA VIJANA KUPITIA KITABU CHAKE
11 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA, NA MICHEZO AZINDUA RASMI KITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA" KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA
11 years ago
MichuziFuraha ya Kusainiwa Kitabu
Na Profesa Joseph MbeleWapenzi wa vitabu wakishajipatia nakala ya kitabu cha mwandishi fulani, huguswa pale mwandishi anaposaini kitabu hicho. Aghalabu mwandishi huandika ujumbe mfupi kwa mteja huyu na kasha kuweka sahihi. Ni jambo linalowagusa sana wasomaji. Mimi mwenyewe, kama mwandishi, nimeshasaini vitabu vyangu vingi. Ninazo baadhi ya picha za matukio haya kutoka miaka iliyopita.Msomaji makini na mwanablogu Christian Bwaya hivi karibuni ameelezea vizuri katika blogu yake, hisia zake...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NB_lyrZRum0/VfdHfnCnlNI/AAAAAAAH40s/zqWPN0RLQ-A/s72-c/download.jpg)
JE WAJUA MKATABA WAKO WA AJIRA NI WA AINA GANI KISHERIA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-NB_lyrZRum0/VfdHfnCnlNI/AAAAAAAH40s/zqWPN0RLQ-A/s640/download.jpg)
Na Bashir Yakub
Kama ilivyo makubaliano katika shughuli nyingine za kijamii ajira nayo huwa na makubaliano maalum wakati inapoingiwa. Makubaliano haya ndiyo huitwa mkataba na yumkini huingiwa kati ya wahusika wawili yaani muajiriwa na muajiri. Aina ya mahusiano wanayoingia wahusika ndiyo huibua aina za haki na wajibu kwa pande zote mbili. Mwenye haki hutakiwa kutoa haki hiyo kwa mwenzake naye mwenye wajibu huwa hana hiari isipokuwa ...
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Kitabu cha ‘urais’ wa Makamba
11 years ago
Habarileo07 May
Kitabu kero za Muungano chaandaliwa
WAKATI Muungano ukiwa hoja kuu katika mchakato wa Katiba mpya uliofikia katika ngazi ya mjadala wa Bunge Maalumu, Serikali imeandaa kitabu maalumu kinachoelezea historia, utekelezaji wa mambo ya Muungano, mafanikio, changamoto, fursa na matarajio ya Muungano kwa miaka ijayo.
10 years ago
Habarileo11 Feb
Kitabu cha Lishe chazinduliwa
TAASISI ya Bunge ya kushughulika na Usalama wa Chakula, Lishe na Haki za Watoto (PGNFSCR), wamezindua kitabu kinachosisitiza umuhimu wa Ilani za vyama vya siasa nchini, zitakazotumika kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu, kuwa na vipengele vinavyozungumzia masuala ya chakula na lishe.