Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitabu cha ‘urais’ wa Makamba

Ni dhahiri mpambano wa kuwania urais ndani ya CCM unazidi kunoga, ikiwa imebakia miezi michache kabla ya kupulizwa rasmi kipenga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

kitabu cha Padre Privatus Karugendo cha "Mazungumzo na January Makamba kuhusu ‪Tanzania Mpya‬" kipo mitaani

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba akisaini kitabu cha Mazungumzo na January Makamba kabla ya kumpa nakala Waziri wa Sheria na katiba Dkt Asha-Rose Migiro jijini Dar es salaam Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba baada ya kumpatia kitabu cha "Mazungumzo na January Makamba" kabla ya kumpa nakala Waziri wa Sheria na katiba Dkt Asha-Rose Migiro jijini Dar es salaam. Mengi kuhusu kitabu hicho utapata BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Mwana Habari Luqman Maloto azindua kitabu cha wagombea Urais

Mwandishi wa habari mzoefu, Luqman Maloto akikitambulisha kitabu chake kijulikanacho kwa jina la “The Special One 2015 Nani Ajaye?” wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.Mwandishi wa habari mzoefu, Luqman Maloto akimkabidhi mwandishi wa habari wa televisheni ya TBC, Angella Msangi kitabu chake kijulikanacho kwa jina la “The Special One 2015 Nani Ajaye?”.Mwandishi wa habari mzoefu, Luqman Maloto akimkabidhi mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima, Tatu Mohamed kitabu...

 

10 years ago

CloudsFM

Mh. January Makamba azungumzia kitabu chake kilichoandikwa na Padri Privatus Karugendo kwenye Power Breakfast.

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, ambaye pia ni mbunge wa Bumbuli,Mh January Makamba leo kwenye kipindi cha Power Breakfast amezungumzia kitabu cha maisha yake naya kisiasa pamoja na malengo yake ya kimaendeleo kwa Tanzania kama atapata ridhaa ya kugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi wa mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. #TanzaniaijayoMh.Makamba amezungumzia vipengele vingi kwenye kitabu chake hicho kama kupambana na madawa ya kulevya,elimu,ajira kwa vijana,Afya,...

 

11 years ago

Mwananchi

Makamba ajipigia debe la urais

Katika kile kinachoonekana kama kujipigia debe katika kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amewaambia viongozi wa dini Kanda ya Ziwa kwamba vijana wanapofika kuomba ridhaa yao, muwaangalie, msiwabeze.

 

11 years ago

Mwananchi

January Makamba, Zitto waungana urais

>Uamuzi wa mwanasiasa kijana, January Makamba wa kutaka kuwania urais, umezidi kukoleza mijadala ya kisiasa katika mitandao ya kijamii na kuibua hoja zinazokinzana kuhusu ujana na uzoefu wa uongozi.

 

11 years ago

Dewji Blog

January Makamba atangaza kugombea Urais 2015.

january-makamba

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba.

*Nape asema hakufanya makosa

Na Mwandishi wetu

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupisha fikra mpya kuongoza dola, licha ya chama hicho kuzuia kutangaza nia na kupiga kampeni kabla ya muda.

Makamba, mmoja wa makada wa CCM walioonywa na chama hicho baada ya kutuhumiwa kuanza kampeni mapema, alijipigia debe kuwa iwapo atapitishwa...

 

10 years ago

Michuzi

JANUARY MAKAMBA ALIPOTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS

 MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba akizungumza wakati akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais leo katika ukumbi wa mikunano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mbunge wa jimbo la Bumbuli,Mjumbe wa NEC na Naibu Naziri wa wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba wakati akielezea vipaumbele vyake kwenye mkutano uliofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani