kitabu cha Padre Privatus Karugendo cha "Mazungumzo na January Makamba kuhusu Tanzania Mpya" kipo mitaani
![](http://2.bp.blogspot.com/-NXjUhqfULt0/VLoiFdNvj-I/AAAAAAAG99I/PdVYeSTSG2A/s72-c/j1.jpg)
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba akisaini kitabu cha Mazungumzo na January Makamba kabla ya kumpa nakala Waziri wa Sheria na katiba Dkt Asha-Rose Migiro jijini Dar es salaam
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba baada ya kumpatia kitabu cha "Mazungumzo na January Makamba" kabla ya kumpa nakala Waziri wa Sheria na katiba Dkt Asha-Rose Migiro jijini Dar es salaam. Mengi kuhusu kitabu hicho utapata BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM20 Jan
Mh. January Makamba azungumzia kitabu chake kilichoandikwa na Padri Privatus Karugendo kwenye Power Breakfast.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, ambaye pia ni mbunge wa Bumbuli,Mh January Makamba leo kwenye kipindi cha Power Breakfast amezungumzia kitabu cha maisha yake naya kisiasa pamoja na malengo yake ya kimaendeleo kwa Tanzania kama atapata ridhaa ya kugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi wa mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. #Tanzaniaijayo
Mh.Makamba amezungumzia vipengele vingi kwenye kitabu chake hicho kama kupambana na madawa ya kulevya,elimu,ajira kwa vijana,Afya,...
9 years ago
Bongo528 Sep
Kitabu kipya cha Harry Porter kipo njiani, kitakuwa cha bure
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Kitabu cha ‘urais’ wa Makamba
10 years ago
Vijimambo13 Mar
IT'S FRIDAY AND ITS ON #TGIF, SKYLIGHT BAND KUKINUKISHA THAI VILLAGE USIKU WA LEO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-VpUw4gmycuw/VXQgQLwia3I/AAAAAAAHctw/IS14roOlYFw/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-06-07%2Bat%2B1.41.24%2BPM.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QmRFQRFpoAS7Dd4eEN-qiZa9Nh6NoDTaaDKFmEbYCQHB*6DpYdycOgeKDeaWj2LV7ONLszWJn5n40Fz0*kidWbkjHej2QN00/MAKAMBA.png?width=650)
11 years ago
Michuzi04 Jul
10 years ago
Michuzi02 Oct
Taarifa Kwa Umma Kutoka Cham Cha ACT-TANZANIA Kuhusu Zitto Kabwe na Chama Cha ACT- Tanzania
![](https://1.bp.blogspot.com/-PQ3cCBhtNUE/VCwNv30XPoI/AAAAAAADEsg/fLSGWFewAGQ/s1600/01.aa4.jpg)
Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA".
Act-Tanzania tunaeleza kuwa ni chama cha watanzania wote kisichokuwa na mmilki wake na tunaunganishwa na misingi kumi ya chama pamoja na Itikadi yetu ya Demokrasia...
10 years ago
AllAfrica.Com18 Feb
Can January Makamba Be the Next President of Tanzania?
AllAfrica.com
The Economist doesn't often write about Tanzania. When it does, the country's political and business elites pay attention. So, a few weeks before the 2010 general election, when the Economist published a long piece on Tanzania, it was met with surprise.