Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAFUNZI WA ARDHI ATOA CHANGAMOTO KWA VIJANA KUPITIA KITABU CHAKE‏

Nguku anaelezea kwamba kitabu hicho yenye kauli mbiu “Sio Serikali ni Mimi, Wewe na Sisi,” inatoa hamasa kwa watu hasa hasa kundi la vijana waweze kuwa na uthubutu wa kutimiza malengo yao katika maisha. Wanaoshuhudia ni mama yake mkubwa Bi. Anna Kikwa na baba yake mdogo Bw. Emmanuel Mallewo.
Bi. Kikwa (kushoto) na Bw. Mallewo wakionyesha kitabu cha 'Safari Ya Ndoto' alichokiandika mwanao Aman (katikati)...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA SAUT MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH MILIONI 1ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja (kulia) akitoa fedha zake kwa njia ya M-PESA kiasi cha shilingi Milioni 1/-alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania na kukabidhiwa fedha hizo na Mkuu wa kampuni hiyo kanda ya ziwa Dominician Mkama (kushoto.…

 

10 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU SAUT CHA JIJINI MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH 1/-ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM TANZANIA

Mkuu wa kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania, Domician Mkama(kushoto)akiongea na Evarista Minja(wapili toka kulia)na marafiki zake alipomtembelea Mwanafunzi huyo wa chuo kikuu cha SAUT jijini Mwanza kwaajili ya kumkabidhi kitita chake cha shilingi Milioni 1/-alichojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja(kulia)akitoa fedha...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE‏

Mkuu wa Vodacom Tanzania  kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/-James Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza ,alizojishindia kupitia promosheni ya Jay Millions inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay au AUTO kwenda 15544.… ...

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUUU CHA ST.JOSEPH AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA MILIONI 10/-‏

Meneja wa NMB tawi la Benki House jijini Dar es Salaam, Leon Ngowi (kushoto) akipanga kitita cha shilingi Milioni 10/- wakati wa hafla ya kumkabidhi kitita hicho Mwanafunzi wa chuo Kikuu cha ST. Joseph, Ibrahim M. Ibrahim (kulia) aliyejishindia kupitia Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu. Hafla hiyo ilifanyika  jijini Dar es Salaam mwishoni...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 1/- KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA BALOZI WA PROMOSHENI HIYO‏

Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili  mteja kujua kama  ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au...

 

9 years ago

StarTV

Umoja wa Vijana Geita wazindua kitabu maalumu je wajua kitabu gani?

Marafiki wa Magufuli Kanda ya Ziwa kupitia Umoja wa Vijana Mkoa wa Geita wamezindua kitabu maalum kiitwacho TINGATINGA ikiwa ni sehemu mojawapo ya kampeni ndani na nje ya mkoa huo kitakachomnadi mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli.

 Vijana hao wamesema kitabu cha TINGATINGA kitasaidia wananchi kumjua kiundani Dokta Magufuli kwa kuwa kitasambazwa mijini na vijijini wakiwa na imani kuwa watakaosoma na kukielewa kitabu hicho watafanya maamuzi sahihi kwa...

 

9 years ago

GPL

VIJANA MTWARA WAENDELEA KUWEZESHWA KUPITIA AIRTEL FURSA‏

Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kushoto), akimkabidhi kijana Prisca George Chilumba, msaada wa vifaa mbali mbali vya saluni ya wanawake kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye sehemu yake ya biashara iliyokarabatiwa na Airtel katika Mtaa wa Ligula, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Meneja wa Airtel Mtwara, Bartholomew Masatu (wa pili kushoto) na...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI ILI KUDUMISHA AMANI, UTULIVU NA UADILIFU‏

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka ililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama. Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama akiwapungia watu waliohudhuria katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani