Waziri Maselle awajibike kuhusu kauli zake
Tumeshtushwa na tuhuma nzito zilizotolewa bungeni hivi karibuni na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Steven Maselle dhidi ya balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wfufAsrgkK*bf1tcWTdP9n*btivl*q-VNf9ux1zrtsnYHNwyc3kaYevMkt8wR18gsfkvgQBskJ9Bzyk-ZcL0*6o4xICIdtmQ/SEIFSHARIFF.jpg?width=650)
SEIF SHARIFF HAMAD KAZUNGUMZA LEO, KAULI ZAKE 7 KUHUSU MUUNGANO ZIKO HAPA
Maalim Seif Sharif Hamad. Amekua mmiliki wa vichwa vya habari kutokana na ripoti mbalimbali ambazo zimekua zikimnukuu kwa kudai kutoutaka muungano lakini leo April 15 2014 amezungumza kwenye maonyesho ya miaka 50 ya muungano ya kuzitoa hizi kauli zifuatazo. 1. ‘Pamoja na milima na mabonde, muungano huu umedumu miaka 50, nchi nyingine zilishindwa, lazima tufanye tathmini hasa ya muungano wetu, lazima vijana waelimishwe vp...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYDfIOh8pUWsaizlXUsTSe*yfo8voTH28ylI*ylP2SDDPESTNmH-I3JgVFNv0uayjlXBjf3DyZBYxvRcn6SK4Klh/mnyika2.jpg)
KAULI KUHUSU UONGO WA WAZIRI PROFESA MUHONGO
Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika (Mb). Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametoa kauli za uongo kwa nyakati mbalimbali mwaka 2012 na 2013 ndani na nje ya Bunge kuhusu utafiti na uendelezaji wa gesi asilia. Waziri Muhongo alijibu uongo kwamba hafanyi kazi kwa vyombo vya habari nilipohoji kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge ya kuanzia Novemba 2011 ya kushughulikia ufisadi uliothibitika katika...
10 years ago
Mwananchi02 May
Waziri Sitta alitakiwa awajibike, siyo kulaumu
Baada ya ajali nyingi kuchukua roho za zaidi ya watu 800 katika kipindi cha miezi mitatu, na mgomo wa madereva kuathiri usafiri wa abiria wa masafa marefu nchini, hatimaye Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta juzi aliibuka na kuelezea chanzo cha tatizo hilo la ajali.
10 years ago
VijimamboKAULI YA WAZIRI MEMBE BUNGENI KUHUSU BIASHARA HARAMU YA PEMBE ZA NDOVU.
Mheshimiwa Spika,
Siku ya Jana Vyombo vya Habari mbalimbali vya Ndani na Nje ya Nchi vilitoa habari kwamba ujumbe wa Rais wa China uliokuja nchini Miezi 18 iliyopita ulijihusisha na ununuzi wa pembe za ndovu nchini. Chanzo cha habari hizo ni taarifa ya taasisi isiyo ya kiserikali ya nchini Marekani ijulikanayo kama Environmental Investigation Agency (EIA). Habari hiyo imekwenda mbali zaidi kuituhumu nchi yetu na viongozi...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-NLCW3VOXZOM/Vn1ouIecs9I/AAAAAAAAXg8/vo_-s6kqVKY/s72-c/8-chadema.jpg)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU MIKUTANO YA HADHARA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU
KAULI YA WAZIRI MKUU MIKUTANO YA HADHARA
Tumeona kupitia vyombo vya habari na njia mbalimbali za upashanaji taarifa kwamba Waziri Mkuu Majaliwa Kassim amenukuliwa akitoa kauli inayoonesha Serikali ya CCM inataka kuzuia shughuli za kisiasa hususan mikutano ya hadhara.Kupitia kauli hiyo, Waziri Mkuu amenukuliwa zaidi akisema kuwa Uchaguzi umekwisha hivyo
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9l26CrgDE0Q/U26En-q46oI/AAAAAAAFgsk/DjNEY_CI0go/s72-c/IMG_8783.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-wSbg2UO_RxI/Ve_t1Q5pk3I/AAAAAAAAIjs/iLsi4o3hATM/s72-c/mrema%252Bleo.jpg)
UMESIKIA HII KAULI YA MREMA BAADA YA KUKOSA WATU KWENYE KAMPENI ZAKE? SOMA HAPA
![](http://3.bp.blogspot.com/-wSbg2UO_RxI/Ve_t1Q5pk3I/AAAAAAAAIjs/iLsi4o3hATM/s1600/mrema%252Bleo.jpg)
Mwenyekiti Taifa wa chama cha Tanzania Labour Party TLP, na mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Augustino Mrema, amelalamikia kuwa anafanyiwa siasa chafu na wapinzani wake.Akizungumza na waandishi wa habari jimboni Vunjo, Mrema amepeleka lawama moja kwa moja kwa viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, kwa kumchafua kwa matusi kwenye kampeni pamoja na kufanyiwa ubaguzi.“Siwalaumu wanachama wa CHADEMA, viongozi wao ndio wenye fujo na mimi, sasa najiuliza tatizo ni nini uzee wangu?...
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Serikali yaendelea kumkana Maselle
Sakata la tuhuma za Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose limeendelea kuchukua sura mpya na sasa mzigo huo unamwelemea Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele baada ya Serikali kudai kwamba ilikuwa ni kauli yake na si msimamo wa Serikali.
11 years ago
BBCSwahili12 May
Kauli ya Zitto Kabwe kuhusu katiba TZ
Nchini Tanzania, hivi karibuni kulikuwa na mvutano mkubwa kule Dodoma katika Bunge maalum la Katiba, wakati wa kujadili rasimu ya katiba mpya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania