Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kada CCM atinga na chopa ya Ndesa mkutanoni Moshi

Moshi. Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Buni Ramole anayewania Ubunge Jimbo la Moshi Mjini, juzi alitinga mkutanoni na helkopta inayomilikiwa na Mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi CCM watimuliwa mkutanoni

WANANCHI wa Kata ya Kambasegela wilayani Rungwe mkoani hapa, wamewafukuza viongozi wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM wa kata hiyo walipotaka kufanya mkutano wa hadhara ili kuimarisha chama chao. Akizungumza...

 

10 years ago

Mtanzania

Kigogo CCM afia mkutanoni

salminNa Is-haka Omar, Zanzibar
MWAKILISHI wa Magomeni visiwani Zanzibar, Salmin Awadhi Salmin (CCM), amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka katika kikao cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichokuwa kinafanyika katika ofisi kuu ya chama hicho, Kisiwandui mjini Unguja.
Taarifa hiyo ilianza kuenea mjini Unguja jana saa 6 mchana, na hata kuzua maswali kutoka kwa wananchi kuhusu utata wa kifo chake.
Salmin (57) ambaye pia alikuwa ni mnadhimu wa wawakilishi wa CCM na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho...

 

10 years ago

Vijimambo

KADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI ANSI MMASI ATOA MSAADA KWA WALIOATHIRIKA NA MFURIKO MOSHI VIJIJINI.

Chakula cha msaada kwa ajili ya wananchi walio athirika na mafuriko wilaya ya Moshi vijijini kikushushwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya kwa ajili ya kwenda kukabidhiwa kwa wahusika.Kada wa Chama cha Mapinduzi Ansi Mmasi akikabidhi msaada wa Chakula kwa afisa tarafa,Eveline Mmary ambaye alipokea msaada huo kwa niaba ya katibu tawala wa wilaya ya Moshi .
Afisa Tarafa wa Kilimanjaro akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa chakula kwa ajili ya waathirika wa mafuriko katika eneo la TPC wilaya...

 

9 years ago

Mwananchi

Chopa inayosadikiwa kubeba makada wa CCM yaanguka

Chopa inayosadikiwa kubeba makada wa CCM imezua utata baada ya kudaiwa kudondoka katika eneo la Msolwa, Hifadhi ya Selous.

 

9 years ago

Mtanzania

Chopa iliyobeba makada wa CCM yaanguka Selous

BensonKibonde_BildergalerieNa Dennis Luambano, Dar es Salaam

 

HELIKOPTA iliyobeba makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikitokea Dar es Salaam kwenda Njombe imeanguka ndani ya Pori la Akiba la Selous lililopo eneo la Kilombero mkoani Morogoro.

Akitoa taarifa za ajali hiyo kwa MTANZANIA jana, Meneja wa Selous, Benson Kibonde, alisema helikopta hiyo ilianguka karibu na Mto Ruaha katika Kitalu cha Uwindaji cha R3.

 

“Ajali hiyo imetokea jana jioni na tulipata taarifa kwa njia ya simu ya satellite kutoka kwa professional...

 

10 years ago

Mwananchi

Kada aionya CCM urais

Zanzibar. Mwanasiasa mkongwe wa Zanzibar Hassan Mussa Takrima (72) ameionya CCM kuwa itakuwa katika hatari ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu kama kitasimamisha “mgombea mwepesi, asiye na mvuto na asiyekubalika kwa wananchi”.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Mahiga kada wa 25 urais CCM

>Mwanadiplomasia mkongwe nchini, Dk Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais na kuahidi kuimarisha misingi ya Taifa na kutengeneza mwelekeo imara wa nchi kuelekea uchumi wa kipato cha kati.

 

10 years ago

Mtanzania

Kada CCM ampiga katibu wake

NA ELIYA MBONEA, SIMANJIRO
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Kata ya Endiamtu Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Issa Katuga anadaiwa kumpiga ngumi na mateke Katibu wa chama hicho, Salimu Kombo baada ya kumtuhumu kugoma kuidhinisha matumizi ya Sh bilioni moja kwa ajili ya kwenda kulipa madeni.
Tukio hilo linadaiwa kutokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ofisi za CCM za kata hiyo, baada ya Mwenyekiti Katunga kumtuhumu katibu wake kuwa amegoma kuidhinisha fedha...

 

9 years ago

GPL

KADA CCM ASIMULIA ALIVYONUSA KIFO!

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mjumbe wa UVCCM-Mkoa wa Morogoro, Hery Francis Hoza akiugulia. Makongoro Oging’ na Issa Mnaly AJALI! Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mjumbe wa UVCCM-Mkoa wa Morogoro, Hery Francis Hoza ,32, (pichani) amepata ajali mbaya katikati ya wiki iliyopita na kunusurika kifo. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Kibaha mkoani Pwani ambapo kada huyo alikuwa akitoka Morogoro kuelekea Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani